Mbabe hunter
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 327
- 478
Bila shaka mko wa zima wa afya tele kabisa, mimi ni mzima kabisa wa afya ya mwili,roho na akili..
Kama kichwa cha habari kinavoeleza, mimi ni kijana sasa lakini nimepita maisha tofauti tofaut katika ukuaji wangu..
Nikiwa darasa la tano yaan mwaka mmoja baada ya kuhamia kijijini kwani kabla ya hapo nlikuwa nasoma town, nilipohamia kijijini kwa bibi nilikuwa free sana sasa nikajikuta nipo na kundi la wanafunzi watukutu na watoro wanavuta sigara na bangee.
nikadumbukia kwenye fegi zile SM(sweet menthol) tukawa tunavuta lkn hatupati stimu kabisa tunabaki na harufu tu, tukiwa darasa la saba kuna kijana pale mtaani ambae alikuwa ni binamu yangu akaanza kunyonga cha arusha ba kuuza(PUSHA) na pale ghetto kwake tulikuwa tunashinda tunacheza karata.
Basi bwana nasisi tukaanza kupuliza mjani kama kawa na matokeo yakawa positive kwani tukawa tunapata stimu na hali inakuwa tofauti na yale mafegi tukaacha.
Nilivuta bangi kuanzia darasa la sita mpk form 4 na matokeo yalikuwa sio mabaya nakumbuka walimu wangu wa sekondari walijua lakini hawakunivimbia sana maana kukiwa na mechi ili nikichafue vizuri dimba la juu lazima nile mmea na pia darasani sikuwa vibaya hususani biology!!
KISA CHA KUACHA..
Siku moja nikiwa nimetoka shule hiyo form 4 nimerudi pale bush ndo nimeshuka stand naelekea kwa bibi nikakutana na yule binamu yangu PUSHA akiwa anavuta ganja lake pale ..
Tukasalimiana akasema dogo naona umechoka shika hii itakutuliza akili basi nkachukua pale nkaizima nikaweka mfukoni..
Nilipofika hom nakumbuka bi mkubwa alikuwa kaja kumsalimia bibi na mm nlirudi bush kumpa hi..
Nasi nikafika hom nikamsalimia bi mkubwa na bibi then nikagonga menyu vizuri nikatoka kuelekea ghetto kwa masela ili nikatulize akili na ganja langu..
Basi nimefika sikuwakuta washkaj nlikuta mlango uko waz nkazama nikawasha mwenge pale kilikuwa ni kipisi tu basi nikavuta pale nikamaliza nikalala ivi chali kitandani nikafumba macho..
Ghafla nasikia km mashine inalia zile mashine za kusaga naskia km inalia sebureni nikaenda kuchek hakuna kitu nikirudi ndani inalia daaah!!
ghafla kuchek dirishan upepo ulikuwa unapuliza halafu kuna miti ilikuwa nje naona inachapa pale dirishan kwa nguvu sana wakat najua miti huwa iko mbali kidogo na dirisha dah..
nikarudi kulala naona mashine inazidi kulia sebureni mara naona paa la bati km linanidondokea ivi mara kitanda kinataka kujigeuza dah ikawa tafran mzee nkatoka mbio hadi nje naona njia inayumba km nyoka nikaona hapa hii ya leo kali itanitia aibu nikarudi chap ndani kujifungia ..
Nikaanza kulia maana malueluwe yamezidi af navolia mara naskia ule wimbo wa juma necha kuna kipande anasema UNAMLILIA NANI NA POMBE UMEKUNYWA MWENYEWE NA HUO NDO USHAURI ULIPEWA KWENYE VIJIWE..
Eti nikaanza kujibu mbona mm sijanywa pombe bangi yenyewe ni kidogo tuu..
Niliteseka sana ile siku baada ya masaa km matatu nikawa poa kidogo ila njaa inauma kinoma nikarudi home nikagonga msosi wote bi mkubwa akawa anashangaa ww c umekula haoa muda sio mrefuu??
Sikumjibu nikalala mpk asbh naamka yale mawenge yanarudi tena yaan nikawa nikiwa peke yangu naanza kuipata ile hali kwahiyo nikawa siruhusu kukaa alone kbs ..
Hiyo ndo ilikuwa mara yangu ya mwisho kuvuta ile bangi na sijui ni kwann ilinipelekea vile wakat nlikuwa mzoefu kwa miaka kama mitano ivi.. Sijui yule pusha aliweka nini au alichanganya na nn aiseeh dahh.
hiyo ilikuwa mwaka 2009.
Sent using Jamii Forums mobile app