Streptokinase
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 278
- 447
Haleti hizo nakumiss miss mkuu, yan yeye anarespond story unazompa tu basiWe subir huku akiliwa na wenye wanaiona free...
We ukiona anasema sema nimekumiss miss nying,Ndo kashakwambia tayar yu friii
Kwaio unataka kusema sipendwi mkuu? hapo bado sijatongoza ndo naandaa mazingiraMwanamke anayekupenda ukimwambia njoo gheto/nyumbani anaacha kila kitu na kutii amri yako fasta.
Kama hupendwi kaka utaishia kupewa ahadi za CCM mpaka unakufa.
Naogopa kutuma mkuu si unajua matapeli wengi mjini apa, ila nilimwabia aje na uber ntalika akakaza.Pole sana...
Anashindwa tu kukumbia hana nauli...
Mtumie nauli alafu muulize lini tutaonana... utasikia nipo nje kwako hapo, nimekuja kutoa hela mara moja, ila sikai sana..
Cc: mahondaw
Woman is overrated. [Kwenye mapenzi]Mbona unatuaibisha wanachama wenzako! Unakwama wapi?
Akikwambia nitakuja siku nikiwa free
"Mwambie bila yeye hujiwezi, mtumie nauli ya taxi na yakutolea". Na utume kweli
Akipangua hiyo mualike dinner au lunch sehemu nzuri ya kuvutia
Akipangua tena hiyo mnunulie zawadi yeyote nzuri. Mwite kwa style hiyo pia.
Asipokuja muache, tafuta mwingine. Huyo atakuwa na mtu wake na watakuwa wanapendana sana au jamaa kambana au atakuwa hakupendi.
Fanya uje ghetto basi dah, nimekusubiri sana, iyo siku ambayo upo free haifiki tu?Aahahahahahahhaaa unanisema huku jukwaanii.... Looh mnisamehe buree ni katabia kangu ka kuwa na aibu....
Ngoja nijaribu iyo ya zawadi mkuuMbona unatuaibisha wanachama wenzako! Unakwama wapi?
Akikwambia nitakuja siku nikiwa free
"Mwambie bila yeye hujiwezi, mtumie nauli ya taxi na yakutolea". Na utume kweli
Akipangua hiyo mualike dinner au lunch sehemu nzuri ya kuvutia
Akipangua tena hiyo mnunulie zawadi yeyote nzuri. Mwite kwa style hiyo pia.
Asipokuja muache, tafuta mwingine. Huyo atakuwa na mtu wake na watakuwa wanapendana sana au jamaa kambana au atakuwa hakupendi.
Uyu sio mtoto, kashamaliza chuoWatoto wengi ndio wenye ahadi za uongo
Fanya uje ghetto basi dah, nimekusubiri sana, iyo siku ambayo upo free haifiki tu?