Siku nikikutana na RA na EL ana kwa ana..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku nikikutana na RA na EL ana kwa ana..!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Supervisor, Dec 30, 2010.

 1. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Siku nikipata bahati ya kukutana na hawa viumbe wawili nitawambia yafuatayo:-
  1. Roho za wa Tanzania zinaumia na kuteketea kwa ajili ya tamaa yao.
  2. Hawata ishi milele
  3. Tumechoka kuibiwa mali zetu.
  4. Huu ndo mwisho wa dhuruma.

  Kwa kifupi tumechokaaaa..!
   
 2. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mtaishia kusema pembeni tu ukikutana nae hta kufungua mdomo hutaweza,ndo tulivyo watz waoga kma mbwa koko,kma mtu yupo mbali kelele kibao akisogea karibu mnakimbilia kujificha bandani
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2010
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Maswali mazuri na mimi nikuombee afya njema ili utimize azma yako hiyo kwa niaba watanzania wanaoteseka.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huko nyuma waliwahi ombwa lakini kumrudia Mungu.:embarrassed:
   
 5. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama huna mtutu tumia hata kisu, kama huna kisu basi tumia rungu, km huna rungu basi hata ngumi inatosha. Then we will say "message sent," and of course you will be a hero.
   
Loading...