Siku moja watasimulia ...!

Siku moja watasimulia ...!

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
3,156
Reaction score
3,626
Ni kizungumkuti lakini hatuna jinsi lazima tupambane kujinusuru na hili janga. It is a great ordeal.

Kati ya watu ninao waonea huruma ni hawa wanao fanya kazi na Jiwe. Ni ngumu sana kufanya kazi na mtu anaye jiona anajua kila kitu Duniani. Yeye ni Mwalimu, Nurse, Doctor, Engineer, psychologist, Dentist, Dalali, Padre, Mchumi,yaani yeye ndio kila kitu. Akisema fuata hicho! Usimsahihishe. Jamani wasaidizi wake wana wakati mgumu sana.

Lakini huu ujuaji wake una kwenda kuliangamiza Taifa kiuchumi na kushusha Kabisa heshima ya Nchi yetu Duniani.

May inakuja! Covid-19 itatuvuna kama moto wa nyika uteketezavyo majani makavu. Wasaidizi wa Jiwe watahangaika kutunza siri haita wezekana. Watatamani waachie ngazi lakini madaraka matamu japo sirini moto una waka.

Ipo siku watasimulia ugumu wa kufanya kazi na mtu mjuaji kupindukia.
 
Hakika umenena vyema
Unajua wasaidizi wake wana jitahidi kumshauri lakini ameshindikana. Kama kweli mwaka huu kutakuwa na uchaguzi basi tutegemee vioja!

Wafadhili wamegoma kutoa fedha sababu Jiwe hataki kufuta kesi za kisiasa zote zilizoko mahakamani. Hashauriki.

Hili la Covid-19 ndio usiseme! Dunia itamtenga sababu ya ubishi wake.
 
Unajua wasaidizi wake wana jitahidi kumshauri lakini ameshindikana. Kama kweli mwaka huu kutakuwa na uchaguzi basi tutegemee vioja! Wafadhili wamegoma kutoa fedha sababu Jiwe hataki kufuta kesi za kisiasa zote zilizoko mahakamani. Hashauriki.

Hili la Covid-19 ndio usiseme! Dunia itamtenga sababu ya ubishi wake.
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
 
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?, Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Zinaokotwaa uliza Lumumba.
 
Zinaokotwaa uliza Lumumba
Hii imenikumbusha ilivyokuwa ikitokea mjini Wuhan siku za mwanzoni za mlipuko wa Corona. Watu waliokuwa wanadondoka bus/ railway stations, super markets etc mpaka serikali ya China ikapiga marufuku urushaji wa hizo videos kwenye social media
Hali ni mbaya Dar Es Salaam
 
Sana nawashangaa walio baki kwenye siasa,hii kitu ni ya kupaza sauti wote,ili dunia ujue kinacho tokea tunaweza saidiwa
 
Pamoja na yote Magufuli ni mfia nchi yake,ameamua liwalo na liwe nchi na watu wangu kuwafungia italeta shida sana kwenye maisha yao maana vipato vya watanzania ndo kama hivyo vya kuokoteza na kuchakula kila siku ili wapate cha kuingiza mdomoni,,,ingawa kama huu ugonjwa utaenea shida itakuwa kubwa sana. Tumechelewa
 
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyesema ukweli wote bila kumung'unya maneno

Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyechukia rushwa ,ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.

Siku itasimuliwa ujenzi wa madaraja, viwanda, reli, hospitali, mabwawa ya umeme ,na miundombinu mingine lukuki ndani ya taifa hili.

Siku moja tutalia kwa kuomba na kusàli kupata Rais Kama huyu lakini haitawezekana.

Siku moja ,tutaandika historia mpya ya taifa hili kupitia juhudi na jitihada za Sasa.
 
Muda , ndo utatoa picha halisi / lakini Magufuli Sio kiongozi bora .
 
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Hizo maiti huko barabarani huzioni mkuu au nyie vichaa wa nchi hii mnaompotosha jiwe mpaka anatoa speech za kichawi hadharani
 
Naaaam, tulisema mwanzoni hii mambo yakutofunga mipaka itatucost na kuruhusu mandege yalete wachina kila siku itatumaliza, wana ccm kama kawaida yao akisema magufuli hawawez pinga wala hawawez kuwa kinyume wakashangilia maamuz yale leo wengine washafiwa na wajomba na mashangazi ndio wameona sio utani na wameanza kuelewa kwamba hata raisi ni binadamu na sio mtukufu kama wanavyodhan. Wanaumia kindani ndani sababu hawawez kusema wamekaa kimya kama wamemwagiwa maji ya barafu, dawa imeanza kuwaingia taratibu.

Narudia tena: Serikali waache kuchanganya siasa na science ni vitu viwili tofauti, mambo ya kiscience huwez yaendesha kisiasa yanataka scientific procedures basi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu yeye kajificha Chato!

Kakimbia si arud daslama na yeye ajisikie kichwa kinauma, mafua kwa mbali, apoteze ladha ya msosi, asisikie harufu ya kitu yeyote, manake ugonjwa wenye viashiria hivyo, watu wengi wanaumwa mjin daslam na kama hizo ndio dalili za corona tumekwishaaa. kama yeye jiwe KWERI KWERI kama anavyosema, Aje tuish nayo hii corona.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyesema ukweli wote bila kumung'unya maneno

Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyechukia rushwa ,ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.

Siku itasimuliwa ujenzi wa madaraja, viwanda, reli, hospitali, mabwawa ya umeme ,na miundombinu mingine lukuki ndani ya taifa hili.

Siku moja tutalia kwa kuomba na kusàli kupata Rais Kama huyu lakini haitawezekana.

Siku moja ,tutaandika historia mpya ya taifa hili kupitia juhudi na jitihada za Sasa.

Magufuli tangu lini amekuwa msema ukweli? Katika maneno 10 anayoyasema 9 ni ya UONGO na hata hilo moja la ukweli hulisema bila kukusudia.
 
Hizo maiti huko barabarani huzioni mkuu au nyie vichaa wa nchi hii mnaompotosha jiwe mpaka anatoa speech za kichawi hadharani

mtu kafia lumumba pale pale makao makuu alafu mtu kafa saa tano juz mpaka jana saa nane hajatolewa haijawah kutokea hiyo mpaka korona ilivyotimba mjini askari wote wanaogopa kusogelea mwili sa sijui walishamtoa aisee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
So far kwa Dar zimeshaokotwa maiti 2.

Endelea kuleta ushabiki kwenye uhai wa wanadamu kwa nia ya kutetea upuuzi.
 
Si vema kuombea nchi mabaya, tutakiane kheri na baraka , huku tukiendelea kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa...
Ramadan Mubarak
Hebu jifunze kutofautisha kuombea nchi mabaya au kutoa tahadhari.
 
Pamoja na yote Magufuli ni mfia nchi yake,ameamua liwalo na liwe nchi na watu wangu kuwafungia italeta shida sana kwenye maisha yao maana vipato vya watanzania ndo kama hivyo vya kuokoteza na kuchakula kila siku ili wapate cha kuingiza mdomoni,,,ingawa kama huu ugonjwa utaenea shida itakuwa kubwa sana. Tumechelewa
Mfia tumbo kaenda kujificha kijijini Lufilyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom