Siku moja watasimulia ...!

Siku moja watasimulia ...!

Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Kilichofunikwa pale karibu na binslum mtaa wa lumumba kilikuwa mavi yako uliyokuja kisha ukafunika na shuka?
Mpumbavu ni wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si vema kuombea nchi mabaya, tutakiane kheri na baraka , huku tukiendelea kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa...
Ramadan Mubarak
Haya ni matokeo ya kujua kila kitu, kudharau wengine na kujawa na kiburi cha uzima.
Unafikiri watu hawatasubiri upatikane na mabaya wafurahi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote Magufuli ni mfia nchi yake,ameamua liwalo na liwe nchi na watu wangu kuwafungia italeta shida sana kwenye maisha yao maana vipato vya watanzania ndo kama hivyo vya kuokoteza na kuchakula kila siku ili wapate cha kuingiza mdomoni,,,ingawa kama huu ugonjwa utaenea shida itakuwa kubwa sana. Tumechelewa
Mfia nchi?
Huoni watu wanakufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Dunia nzima inajua mpumbavu ni nani! Na wanao mshangilia kama wewe ni kwasababu huna shule! You don't have tools of analysis to view matters in the right way! Poor you and Jiwe.
 
mtu kafia lumumba pale pale makao makuu alafu mtu kafa saa tano juz mpaka jana saa nane hajatolewa haijawah kutokea hiyo mpaka korona ilivyotimba mjini askari wote wanaogopa kusogelea mwili sa sijui walishamtoa aisee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Halafu kuna jitu linasema hakuna vifo na Corona eti haiui ungekuwa ni Amri yangu wanaosema hivi ningewaondoa fasta na kwa maumivu sana
 
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
Mbona maiti mbili tayari zimeokotwa!?
Au ulitaka maelfu ya maiti wakat wew bado unaishi?
Tunasubiri na wew ufe maan n lazima ufe mwaka huu
 
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyesema ukweli wote bila kumung'unya maneno

Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyechukia rushwa ,ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.

Siku itasimuliwa ujenzi wa madaraja, viwanda, reli, hospitali, mabwawa ya umeme ,na miundombinu mingine lukuki ndani ya taifa hili.

Siku moja tutalia kwa kuomba na kusàli kupata Rais Kama huyu lakini haitawezekana.

Siku moja ,tutaandika historia mpya ya taifa hili kupitia juhudi na jitihada za Sasa.
Kama atarudisha zile 1.5T, bas hayo yatasemwa
 
Dunia nzima inajua mpumbavu ni nani! Na wanao mshangilia kama wewe ni kwasababu huna shule! You don't have tools of analysis to view matters in the right way! Poor you and Jiwe.
Dunia nzima ya wapi?, Kinondoni mtaa wa ufipa??
 
Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyesema ukweli wote bila kumung'unya maneno

Siku moja itasimuliwa kulikuwa na Rais aliyechukia rushwa ,ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha.

Siku itasimuliwa ujenzi wa madaraja, viwanda, reli, hospitali, mabwawa ya umeme ,na miundombinu mingine lukuki ndani ya taifa hili.

Siku moja tutalia kwa kuomba na kusàli kupata Rais Kama huyu lakini haitawezekana.

Siku moja ,tutaandika historia mpya ya taifa hili kupitia juhudi na jitihada za Sasa.
Kupata vituko hivi bonyeza # unakutana praise timu
 
Ni kizungumkuti lakini hatuna jinsi lazima tupambane kujinusuru na hili janga. It is a great ordeal.

Kati ya watu ninao waonea huruma ni hawa wanao fanya kazi na Jiwe. Ni ngumu sana kufanya kazi na mtu anaye jiona anajua kila kitu Duniani. Yeye ni Mwalimu, Nurse, Doctor, Engineer, psychologist, Dentist, Dalali, Padre, Mchumi,yaani yeye ndio kila kitu. Akisema fuata hicho! Usimsahihishe. Jamani wasaidizi wake wana wakati mgumu sana.

Lakini huu ujuaji wake una kwenda kuliangamiza Taifa kiuchumi na kushusha Kabisa heshima ya Nchi yetu Duniani.

May inakuja! Covid-19 itatuvuna kama moto wa nyika uteketezavyo majani makavu. Wasaidizi wa Jiwe watahangaika kutunza siri haita wezekana. Watatamani waachie ngazi lakini madaraka matamu japo sirini moto una waka.

Ipo siku watasimulia ugumu wa kufanya kazi na mtu mjuaji kupindukia.
Kati ya makosa tuliyowahi kufanya nchi hii ni kumchagua mtu huyu. Sipendi ukabila ila nawaelewa watu hawa vizuri huwa hawajali maisha ya mtu kabisa mtu kufa ni sawa na kufa ng'ombe tu. Jamani tuwe makini mno! Wataumbuka sana.
 
Halafu kuna jitu linasema hakuna vifo na Corona eti haiui ungekuwa ni Amri yangu wanaosema hivi ningewaondoa fasta na kwa maumivu sana

haya majitu yamelewa madaraka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Si vema kuombea nchi mabaya, tutakiane kheri na baraka , huku tukiendelea kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa...
Ramadan Mubarak
kweli mkuu umeongea jambo la msingi.maana hapa JF nyuzi kibao ni kutishana mara tumekwisha,mara tutaanza kuokota maiti barabaran n.k
kila mtu sahv anafahamu madhara ya huu ugonjwa na tahadhar za kuchukua,kwahyo tusitishane muhimu ni kukumbushana kuchukua tahadhari
 
Nzi wa kijani watakuja hapa kukubishia...
Ni kizungumkuti lakini hatuna jinsi lazima tupambane kujinusuru na hili janga. It is a great ordeal.

Kati ya watu ninao waonea huruma ni hawa wanao fanya kazi na Jiwe. Ni ngumu sana kufanya kazi na mtu anaye jiona anajua kila kitu Duniani. Yeye ni Mwalimu, Nurse, Doctor, Engineer, psychologist, Dentist, Dalali, Padre, Mchumi,yaani yeye ndio kila kitu. Akisema fuata hicho! Usimsahihishe. Jamani wasaidizi wake wana wakati mgumu sana.

Lakini huu ujuaji wake una kwenda kuliangamiza Taifa kiuchumi na kushusha Kabisa heshima ya Nchi yetu Duniani.

May inakuja! Covid-19 itatuvuna kama moto wa nyika uteketezavyo majani makavu. Wasaidizi wa Jiwe watahangaika kutunza siri haita wezekana. Watatamani waachie ngazi lakini madaraka matamu japo sirini moto una waka.

Ipo siku watasimulia ugumu wa kufanya kazi na mtu mjuaji kupindukia.
 
Hakuna anayeomba yatokee ila upumbavu unaoendelea ndio utatufikisha huko.
Nyie ni WAPUMBAVU sana, si mlisema April tutakuwa tunaokota maiti barabarani?, Sasa hivi imegeuka kuwa May?,

Huo ujinga mnaolala mnaombea utokee nchini kwasababu ya chuki zenu hautakaa utokee.

Hao unaowaita wafadhili ndo wanakufa kama kuku kila siku. JPM mpaka sasa kashashinda mechi, watu wameshajua cha kufanya kujiwahi kuhusu Corona na sio kutegemea serikali.
 
Si vema kuombea nchi mabaya, tutakiane kheri na baraka , huku tukiendelea kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa...
Ramadan Mubarak
Hili ndo Jibu linalotakiwa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom