Andy Chande alimwambi Mwl Nyerere "hauwezi kufufua uchumi kwa kutaifisha mali za watu, historia itatuhukumu kati mimi na wewe nani alikuwa sahihi"
Naam historia imehukumu kwa uwazi kabisa Chande alikuwa sahihi.
BURIANI SIR CHANDE
Haswa!M/Mungu akupe umri mrefu sheikh Mohammed. Kinachonifurahisha ni kiswahili sanifu utumiacho. Jazaak Allah.
Maromalo,M/Mungu akupe umri mrefu sheikh Mohammed. Kinachonifurahisha ni kiswahili sanifu utumiacho. Jazaak Allah.
William...Mohamed: sasa nimekupatapata. Mie safari zangu zilikuwa zinaishia audit na kwa Lyamaiga. Kwa hiyo CV yako nashauri mtafute ili mchangamkie rends Tanga Port, Bagamoyo SEZ na hata Malindi wanatafuta port management systems.
Bill Marconi
Nikuulize swali moja kuhusu kitabu chako cha Abduwaheed, kama hutajali. Hivi hauna mpango wa kutoa Volume 2 ili umtendee haki Nyerere na Wakristo kwa kujikita zaidi kwenye mambo unayoyajua kuliko ya kuambiwa?
Everyone including himself knew he will not touch Paradise door
At least!Wewe mwenyewe una uhakika 'you will touch paradise door?'
Mzee wangu mimi naomba tu unifahamishe, hivi wakati wa kupigania Uhuru kuliwa na waislamu na Watanganyika? Mimi huwa sikuelewi naomba unifafanulie hapa ili nasi ambao tulizaliwa baada ya uhuru tujuwe kumbe zamani kulikuwa na waislamu na kylikuwa na Watanganyika waliopigania uhuru.Wewe mwenyewe una uhakika 'you will touch paradise door?'
Mzee wangu mimi naomba tu unifahamishe, hivi wakati wa kupigania Uhuru kuliwa na waislamu na Watanganyika? Mimi huwa sikuelewi naomba unifafanulie hapa ili nasi ambao tulizaliwa baada ya uhuru tujuwe kumbe zamani kulikuwa na waislamu na kylikuwa na Watanganyika waliopigania uhuru.
Matola,
Yalipitika mambo baada ya uhuru kupatikana yaliyosababisha
mimi kuandika kitabu cha Abdul Sykes.
Ikiwa unataka kujua kuhusu Waislam na Watanganyika itabidi
usome kitabu hicho.
Nimeanza na yaliyokuwapo wakati wa ukoloni na vipi siasa za
kikoloni ziliathiri Waislam kama jamii kusababisha wao kuwa
mbele katika kupinga dhulma za kikoloni.
Katika haya utasoma mengi katika kuasisi African Association
1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 na ikawaje
vyama hivi vikaweza kuunda TANU 1954.
Utasoma pia kwa nini mara baada ya uhuru Waislam waliitisha
Muslim Congress 1962 na 1963 agenda ikiwa kufanya juhudi
kujenga shule na Chuo Kikuu.
Utasoma pia juhudi za kuifungua Tanganyika ipokee misaada
kutoka nchi za Kiislam kusaidia Waislam waliokandamizwa na
ukoloni.
Kuanzia hapa Waislam wakaonekana ni tishio na matatizo na
serikali yakaanza.
Hii ikawa historia inayoogopewa na juhudi zikafanyika kuifuta.
Ikawa historia hii ya TANU inapoandikwa au kutajwa inapobidi
husikii jina la Abdul Sykes linatajwa wala la Sheikh Hassan
bin Ameir na wale walioanzisha hicho chama na wakaupigania
uhuru wa Tanganyika kwa nafsi na mali zao...
Babu yangu Salum Abdallah alikuwa mmoja wa mashujaa hawa.
Mwisho wa kitabu hiki sehemu ya tatu nimeiita: ''Njama Dhidi ya
Uislam,''...kuna mengi.
Ukisoma kitabu utapata majibu ya swali lako.
William,Mohamed: nashukuru kwa maelezo ya ziada, hasa labda kwa vijana na wale wasiojua uandishi kwako. Kwa hisanu yako naomba niseme mawili matatu, na kama nitakosea au kukukwaza tayari natanguliza samahani.
Mosi, naam Kitabu Mama ni cha Abdulwahid, kile cha Kiswahili. Translation ya Kiingereza sitayaka kukipendekeza kwa mtu yeyote. It is totally at odds with the Original, laced with afterthoughts, fresh innuendo as if the author is taking benefit of hindsight. Worst of all the English is broken, if I may say so without offence.
One down, twenty to go. Nazidi kupanguapangua.
Vitabu vilivyobaki, ukitoa nitakavyovitaja hapa chini, ni subset ya Kitabu Mama, watu husema palgarised. I am sure ningeviandika mimi ungenishitaki (rightly) kwa kuvunja copyright ya kitabu cha Sykes. Hapa ninamaamisha vitabu kama vya uamuzi wa busara; BAKWATA; wazee wetu; mashujaa wetu; ummah ni kisa cha EAMWS na India na Pakistan. Vitabu hivi vyote ni chapters tu kwenye Kitabu Mama umevirudiarudia bila kibali cha mwandishi na ndicho nilichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).
Professor Malima na Sheikh Kassim ni incarnation ya Sheikh Takadir Mtakadini na AMNUT, hawana jipya. Waislamu wa Tanganyika waliwakataa kama AMNUT ilivyokataliwa Zanzibar na Sheikh Muhsin - rejea kitabu cha Abdulwaheed.
Thirteen down, 7 to go.
Naona kuna mahali Mangi Mareale ameingia (afterthought?), lakini kwenye Kitabu Mama kuna Wachagga wawili tu, wote wenye majibavya Kiislamu, utadhani umati wote wa maprofesa, na juhudi za KNCU, na KKKT, si lolote si chochote?
Kosa kubwa la Kitabu Mama (na derivatives zake ulizoandika ukidharau kabisa miiko ya copyright) ni kwamba ulikuwa tayari umeamua utaandika nini, kwa hiyo hukutaka mashujaa wapya au ukweli mpya. Hizo ni shortcomings chache tu ("chuya") lakini Kitabu Mama kwa ujumla wake kwa kweli kabisa hakina ushindani (ni "wali").
Hicho ndicho nolichosema "wacha maneno ya kuambiwa" (kuambiwa na Mohamed Said), andika mapya (yaani subsequent to Sykes).
Vatabu vilivyobaki sijaviona, nitashukuru iwapo ukinielekeza nikavipate wapi. I reserve my right to analyse them with a neutral eye, notwithstanding thevpossibility that he final conclusion may fail to meet with your liking.
Kuhusu "kuomba kazi" naona umenisoma vibaya, si kwamba wewe ni ombaomba la hasha. Maoni yangu ni kwamba ujuzi ulionao (wa Sykes au wa maritime systems) naona unahitajika; haiwezekani vipotee hivi hivi kichwani kwako. Kitoe, warithishe watoto. Kuna mjumbe mmoja muhaheedina kama wewe in the opposite direction huwa anapenda kunukuu Biblia, lambilecho Waraka wa Mtume Paulo kwa Timoteo. Tunasoma kwamba Paulo alimtaka Askofu Timoteo asilalie neema yake, aisambaze kwa dunia, kwa watu wote. Paulo akamwambia: "ULIPATA BURE. TOA BURE".
Na wewe nakuomba utoe bure; ulipata bure.
WM
Mohamed: nashukuru kwa maelezo ya ziada, hasa labda kwa vijana na wale wasiojua uandishi kwako. Kwa hisanu yako naomba niseme mawili matatu, na kama nitakosea au kukukwaza tayari natanguliza samahani.

Mohamed: samahani sana tena sana, nisamehe ndugu yangu. I meant the original version in English is the correct version, a real jewel of research and scholarship. Cha Kiswahili ndiyo broken. Mengine yako pale pale.William,
Wewe una pupa sana ya kutaka kujibizana na mie.
Unatakiwa kabla hujaandika kitu angalau basi fanya utafiti kidogo wa
somo lenyewe ulijue ndipo unyanyue kalamu.
Kitabu cha Abdul Sykes cha Kiingereza ndicho kitabu nilichoandika kwanza
na kikapigwa chapa London 1998 baada ya kila ''publisher,'' hapa nyumbani
kukiogopa.
Tafsiri ya Kiswahili ikachapwa Nairobi 2002.
Kuhusu kuwa kitabu kina lugha mbovu huo ni muhali jambo hilo haliwezekani.
Mwandishi ana first class merit pass katika English Oral Cambridge.
Jingine mimi (samahani napiga zumari langu mwenyewe) mtaalamu wa lugha
ya Kiingereza na nipo katika mradi wa Oxford University Press wa kusomesha
Kiingereza Shule za Msingi na Sekondari.
Nimechapa vitabu viwili na Oxford kimoja ni African Anthology: ''The Mermaid
of Msambweni,'' kikijumuisha waandishi kutoka nchi mbali mbali za Afrika na
kingine ''The Torch on Kilimanjaro.''
Hiyo moja.
Pili mswada ulipita miko miwili ya wataalam wa lugha ya Kiingereza kabla ya
kupelekwa Uingereza kwa uchapaji na huko pia ukapitia mkono wa mhariri
mama mmoja Mwingereza Prof. wa African History.
Kwa kawaida mhariri hatakiwi ajulikane na mwandishi.
Huyu mama alipomaliza kuhariri kitabu kile alimpa ''note,'' publisher aniletee.
Katika note ile alinambia kuwa amepata furaha sana kukihahriri kitabu changu
na mwisho akaniambia, ''Mohamed you are a story teller.''
Hapa panatosha.
Kifua chako kinafukuta kwa joto.
Iweje huyu Mswahili apewe hivi vyote.
Unaumia kama wengi walivyoumia.
Nakuongezea jambo.
Kitabu cha Abdul Sykes kikafanyiwa ''review,'' na mabingwa wa African History,
John Iliffe Cambridge University na Jonathon Glassman Northwestern University,
Chicago.
Hizi ''review,'' zipo katika Cambridge Journal of African History.
Bila shaka unajua hii nini maana yake.
Huyu Jonathon Glassman akinletea wanafunzi wake Tanga kunihoji wale ambao
walikuwa wanaandika tasnifu zao za Ph D katika historia ya Tanzania.
Bila shaka unajua hii nini maana yake.
Jonathon Glassman akanialika kuzungumza chuoni kwake Northwestern University
Chicago na nikazungumza katika ukumbi wa Eduardo Mondlane.
Bila shaka unajua hii nini maana yake.
Ikafuatia na kazi yangu kuchapwa katika Dictionary of African Dictionary (DAB) mradi
wa Harvard na Oxford University Press, New York 2011.
Bila shaka unajua hii nini maana yake.
Sasa ndipo ninapokuhurumia ndugu yangu.
Ikiwa wewe umejenga hoja yako kuwa Sykes Kiingereza ni tafsiri ya kitabu cha Sykes
Kiswahili kweli mimi haja ya mimi kukaa kukujibu hayo uliyojenga, Waingereza watasema
katika, ''wrong premise?''
Kukusaidia unijue vyema hebu ingia hapo chini:
Mohamed Said: ''The Torch on Kilimanjaro''
Mohamed Said: KLEIST SYKES (1894 - 1949) KATIKA DICTIONARY OF AFRICAN BIOGRAPHY (DAB) OXFORD UNIVERSITY PRESS, NEW YORK
William...Mohamed: samahani sana tena sana, nisamehe ndugu yangu. I meant the original version in English is the correct version, a real jewel of research and scholarship. Cha Kiswahili ndiyo broken. Mengine yako pale pale.
unaweza kuendelea kutakwepa ukitaka mathalani EAMWS walivyotaka kuipasua Tanganyika kama walivyopasua India na Pakistan; au usawa wa Prof Malima na Sheikg
Ule msemo wa kazi ndio msingi wa maendeleo na sio pesa unavyodhihirika, ukiwa mchapakazi na mzoefu hata wakunyang'anye hela zote utanyuka na kuanza upyaMkuu Mohamed Said
Kwanza asante kwa kutujuza machache kuhusu JK Chande..... a round tabler and a rotarian
Nimeona kiwanda chake kilitaifisha lakini aliendelea kuwa raia mtiifu wa nchi hii.
Je unadhani hiyo ndiyo ilimfanya kuaminiwa sana na Mwl Nyerere?
Kwenye autobiography yake inaonyesha alikuwa ana vyeo lukuki....kuanzia bandarini, taasisi za fadha hadi shirika la ndege.
Hakika huyu mzee alikuwa na maadili ya juu kabisa. Naona watu wa "hivihivi" hawawezi kufikia utumishi wake kwa jamii ya watanzania miaka hiyo