Siku moja na Sir Andy Chande

asantee mkuu
 
Stiker za magari za Usalama (polisi wanapewa bure ila wao wana make bingo ) chanjo dhidi ya Polio ni moja ya vitu vingi tu kutoka kwa clubs zetu
 
Elimu si lazima uingie darasani ninafuatilia rekodi zote za mzeee Mohamed saidi na ninanufaika kila siku kwa historia zake
Mungu akupe maisha marefu Mzee japo kuna vijana Wa kisasa wanaojaribu kupingana na wewe ila endelea kuelimisha umma mungu atakulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa kumbukizi hii nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…