Siku moja kabla...

Siku moja kabla...

kuwa mtu wa shukurani ni jambo la kheri.
malipo yetu kama wakubwa zako (hapo kwenye uzazi toa hapo kwi kwi kwi), ni wewe kufaulu. Kaza buti, komaa kama mhaya na hakikisha unafaulu.

Kila la kheri.

Nampendajee ex kidumu wangu jamaniiii, halafu ile ishu hukuniambia tena, ujue nmekununia wewe.

Kama anakuita mama mie aniite baba basi kwikwikwi..
 
Hongereni sana mliomsaidia huyo kijana..!

Mungu awabariki sana..!
 
hehehe, hebu toka hapa. mchepuko hauna street address wewe! na mchepuko haununi, hujui Mapolomoko ananiwania!
Nampendajee ex kidumu wangu jamaniiii, halafu ile ishu hukuniambia tena, ujue nmekununia wewe.

Kama anakuita mama mie aniite baba basi kwikwikwi..
 
Last edited by a moderator:
Hello! Habari zenu wakubwa, heshima yenu. Baada ya mda, hatimaye yamekamilika. Majibu ya kidato cha 6 yametoka na nimepata dvn 3 point 15. Yaan History E, Kiswahili D na English S. Namshukuru mungu kwa kila jambo. lkn pia nawashukuru nyote mliohusika kwa kila kitu juu yangu. Shukran za Dhati kwenu KING'ASTI, DARK CITY, na wengineo. mungu awazidishie Imani na yaliyomema kwa dhati kbs
 
Back
Top Bottom