Ronaldo ni kama Lebron JamesMnahangaika sana kujilinganisha na Messi. Football la kulazimisha, mwenzio football ni passion na mpira unamtii.
Na wanaendelea kupiga kulele na pesa anaendelea kulaMnahangaika sana kujilinganisha na Messi. Football la kulazimisha, mwenzio football ni passion na mpira unamtii.
Jamaa yupo vizuri sana sema hakuwa na bahati timu yake ya taifa kipindi yupo on fire haikuwa mzuri sana.Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.
GOAT ni mmoja tu!
Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.
Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
View attachment 3450608
Au Ronaldo ni kama dimond ,messi kama Ali kiba🙃N
Ronaldo ni kama Lebron James
Mess ni kama Michael Jordan Kwa Basketball
Mleta mada inaonyesha anamahaba mazito na Ronaldo mkakamavu😆
Kwa hiyo mipira huwa anatoka nayo golini hadi golini. Messi huwezi linganisha na hii mbwa. Messi anaweza cheza kama beki, midfielder Na forward Pia. Hili dude lako liko stationary TU likisubiri mpira ufike akimbie kama mwehuMagoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.
GOAT ni mmoja tu!
Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.
Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
View attachment 3450608
Kwakweli PSG ili mshinda na huko marekani hakuna kitu anafanya bwana Messi. Amefeli fainali ya Fifa wc 1 na wakati mwamba camel Goat hajawaipoteza fainali ya kombe la DuniaMagoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.
GOAT ni mmoja tu!
Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.
Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
View attachment 3450608
Amefeli kabisaaa ila angalia mwamba ronnny kila mahala yeye ni net ,tusubirie asajiliwe mwezini ili hawa pimbi wamuheshimu🤣Kwakweli PSG ili mshinda na huko marekani hakuna kitu anafanya bwana Messi. Amefeli fainali ya Fifa wc 1 na wakati mwamba camel Goat hajawaipoteza fainali ya kombe la Dunia
Jamaa hajawahi Kufelisha timu yake kwenye fainali ya kombe la Dunia.Amefeli kabisaaa ila angalia mwamba ronnny kila mahala yeye ni net ,tusubirie asajiliwe mwezini ili hawa pimbi wamuheshimu🤣
😂😂😂😂😂Kwa hiyo mipira huwa anatoka nayo golini hadi golini. Messi huwezi linganisha na hii mbwa. Messi anaweza cheza kama beki, midfielder Na forward Pia. Hili dude lako liko stationary TU likisubiri mpira ufike akimbie kama mwehu
😄😄Ila tayar muda umefika
Mashetani yalishaamua huu ushindani na kumpa Messi kombe la dunia,toka hapo mimi sipendelei tena kubishana kuhusiana na hawa watu wawili ingawaje nipo upande wa cr7