Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

nafata misingi ya dini yangu, hatutumii cond*m, nina ant vrs
wewe umeenda kuzini halafu una mpango wa kumkorogea binti madawa mimba itoke halafu unasema unafuata misingi ya dini yako? dini ipi hiyo?
 
take risk ya kulea tu kaka!!! kama ulivyotwke risk ya kutembea naye bla kinga. usiue pls. first nenda hakikksha kama kweli ana mimba den go on an kuilea. chochote kibaya utakachokifanya hakika utakuja kujuta baadaye.
 
Kwa hiyo ukimlala mwanamke leo na kesho, keshokutwa akikuambia haoni siku zake utafurahi mimba ni yako? teh teh daah!!
soma maelezo yake vizuri,
amesema alifanya nae ngono kwa siku mbili, baadae (hakutaja baada ya muda gani) huyo demu akamuambia ana mimba, anyway yeye mbona anataka ampe hiyo sumu mimba itoke kama ana uhakika mimba haiwezi shika ndani ya kipindi hicho?
 
We kataa mtoto uwe kama baba daimond
 
soma maelezo yake vizuri, amesema alifanya nae ngono kwa siku mbili, baadae (hakutaja baada ya muda gani) huyo demu akamuambia ana mimba, got it???
Kiongozi, maelezo yake amesema kuwa walikutana kimwili pasaka(just a week ago), hata kama huyo dada alinasa ujauzito, inachukua mda gani kutambua kuwa 'hajapata siku zake', think man..think!!

I'm not a medical personnel but just a week after ovulation window won't let you know that you're preggie...nikosoe kwa hilo.
 
so then,atakua hajampa mimba, kwa nini anajishtukia na kutaka kukoroga dawa amnyweshe? kama atamsemea kwa huyo dada si wayampima itaonekana mimba iliingia kitambo kipindi ambacho alikua hamjui?
 
wewe real g ndo hujasoma vzur na kuuelewa mkasa wangu, rudia kusoma, elewa, halafu tafakar, kisha nipe ushauri.
 
Unajua kilichomtokea daimond ni nini??? We kataa tu mimba!
 
You're right Mr. Pharmacist. Yani anakupa chiu jana na leo, then kesho aseme haoni siku zake?..teh teh..kwanza inachukua mda gani kujua kuwa mtu amenasa mimba baada ya kunjunjana? Sio siku mbili, mbili wala tatu. Anakubambikia huyo....
watu ma intelligent kama nyiny ni wachache, nashukuru kwa kuielewa, na kunipa ushaur. big up bro
 
huyo dem ni malaya tu anataka kukuangushia jumba bovu,hata kama hyo mimba ingekuwa kweli imengia siku hzo mlizokutana,lakini dalili za kujihisi kuwa ni mjamzito haziwezi kuja very soon kiivyo,huyo alishapata huo ujauzito ila alikuwa anamtafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…