Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

hahah napenda story za hivi ila daa siopoa eti "Nataka nimpelekee zawad ya juice iliyo na vikorombwezo vya kuitoa hiyo mimba. Mimi ni pharmacist" ilahapokwenye mitusi demu anaonekana naye msaniisiklu yapili eti siku zangu huo ujinga yani ina maana hujielwe inahtaji elimu ya ufahamu tu....yani mh huyo msaniiii af unatishiwa hahahaha ukilegea ataona umeingia kiki kama wewe unajielewa panguavitisho sio kuichoropoa...kuhusu mchumba wakokujua acha ajue maana tunavuna tulichopanda
 
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia, ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao kwanza.

Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo.

Muda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka kwao.

Nikafika nikapga hodi, mtoto akaja fasta akauliza nani, nikamjibu kaka rich hapa nimesahau funguo ya gheto kwangu, akasema wapi, nikamjibu kwenye kochi, akasema subiri nikuletee, nikamjibu poa, hapo bado hajafungua geti, na ufunguo nilikua ninao mwenyewe, akarud akisema hauoni, nikamwambia fungua nije niangalie mwenyewe, akafungua geti( KOSA) nikazama ndan nikijidai natafuta ufunguo, saa saba ya usiku hiyo, huku yeye kasimama ameshika kiuno ananiangalia ninavyohangaika kubidua masofa ya watu kama kweli vile.

Nikamwita anisaidie, akaja, nikasema hapana ngoja nivue shati maana naswet vbaya, uzalendo ukanishinda nikamfata kwa nyuma nikamkumbatia, lahaulaa akapiga kelele, nikamwambia usiogope, nikamweleza yaliyo moyoni yote mtoto akaelewa ila akawa mgumu kujirahisisha.

Akakimbilia chumban kwake na mlango kaacha wazi akisema nisimsumbue anataka kulala, nikacheka kimoyomoyo nikisema kwisha habari yako umeniachia mlango wazi pia umevaa kanga moja, nikamfata hukohuko nikaomba mzigo akawa anakataa mara ooh ndo tunaona mara ya kwanza, mara nipo danger maneno kibao, huku natomasa tu nikaona mtoto anapumua kwa kasi huku akiongea maneno yasiyoeleweka, nikasema tayariiii.

Mtoto akanipa ushirikiano vya kutosha mpaka saa 10 alfajir mwanaume naondoka kwa watu mku mtoto akinisindikiza mpaka getin, kesho yake nipo job akili yangu yote inamuwaza yeye nikasema hataa lazima niende tena, nikamwendea hewani nikaimbisha tena akakubali niende saa tano ila sio na gari maana ndugu watastukia ishu kwa sabab wapo karbu nao nawanajua muhndi kasepa na mimi saa 10.

Muda ukafika nikachapa lapa mpaka kwa sista nikajilia vyangu mpaka saa 12.nilishiba aisee. Balaa linaanzia hapa baada kupga mara mbili na mara mwisho, mtoto akaanza kusumbua mara ooh sioni sku zangu na hii itakua mimba yako, nikamwambia acha ujinga wako yaani siku mbili tu cku huzioni, hiyo itakua ya watu wengine unataka kunisingzia, mi sihusiki, nikaanza kupokea matusi ya kutosha na pia akinitishia kuwa atamwambia sista kwamba cku ile nilivyowapeleka airport nilirudi kumbaka.

Aisee nilitaka kuanguka kwenye kiti ofisini, kuhusu kama akimwambia sista huu ujinga nilioufanya kwake. Ikabidi niwe mpole tu kukubali hali, akili inanituma nikamchoropoe bila ya yeye mwenyew kujua, maana baby wangu akijua hili nimekwisha.

Nataka nimpelekee zawad ya juice iliyo na vikorombwezo vya kuitoa hiyo mimba. Mimi ni pharmacist.
Acha roho ya uuaji,,wakati unamwaga shahawa zako ulijua unamimina majani ya chai kwenye birika la chai?????vuna ulichopanda,,,wewe mpe hiyo juice ya kutoa mimba lakin cku ukipata mtoto wa kike wanaume wenzio watamtoa mimba kwa spoku ya kupikia vitumbua,,malipo ni hapahapa duniani,,,pimbi wewe
 
Kweli vyuo siku izi vinazalisha vilaza, pharmacist unashangaa mimba kuingia siku moja !!!!! lol
Wewe na walio wemgi ndio vilaza viwango vya nursery, pharmacist anashangaa mtu kutoona siku zake ndani ya siku mbili baada ya kumbutua, assume mimba imeingia siku ya 14, mtu huyu tunaexpect asione siku zake baada ya siku 14 mbele yani siku ya 28....

Kutoelewa ni moja ya njia ya kuelewa
 
Kweli vyuo siku izi vinazalisha vilaza, pharmacist unashangaa mimba kuingia siku moja !!!!! lol
Labda alisomea chini ya muembe,,,yaani huyu kaka ni punguani ndo wale wanaofanya upasuaji wa kichwa kwa mgonjwa anaeumwa mguu,,,nyambaf,,,,alipokuwa anasikia utamu hakujua madhara hadi anakiri kabisa kwamba alitoka saa kumi na mbili ameshiba,,,yaani huyu ni jipu
 
Anakujaribu tu kupima msimamo wako mkuu, hamna mimba inayoonekana siku ya pili baada ya kumgegeda, quite impossible.
Sema uzembe wako ni kupewa warning kwamba yupo kwenye danger ukapuuzia halafu matokeo ya aliyokutahadharisha unayakataa pia. Poor u.
 
Mkuu bana!Mimba ni dakika tu inaingia
Kama mlifanya kavu kavu na kama demu alikua kwenye siku zake za mimba hiyo ni yako
 
msomi mzima siku ya shore hamjuani siku ya kwanza tu unamkaza mbaya zaidi "dry chama"
 
Nataka nimpelekee zawad ya juice iliyo na vikorombwezo vya kuitoa hiyo mimba. Mimi ni pharmacist.
Moderator , hebu fanyeni hii thread iwe not editable. Sooner or later tukisikia kuna msichana mwenye ujauzito amefariki baada ya kunywa juice basi Koplo Ngonyani aanzie hapa! Kukojoa mnataka lakini tunda kuu la kukojoa hamtaki!
 
Siku mbili binti kujua ana mimba, subiri DNA nina wasiwasi unabebeshwa zigo la chumvi, angalau bint angesubiri hata wiki ndio akueleze ningeelewa
 
Wewe na walio wemgi ndio vilaza viwango vya nursery, pharmacist anashangaa mtu kutoona siku zake ndani ya siku mbili baada ya kumbutua, assume mimba imeingia siku ya 14, mtu huyu tunaexpect asione siku zake baada ya siku 14 mbele yani siku ya 28....

Kutoelewa ni moja ya njia ya kuelewa
ahsante kwa kumwelewesha
 
Ina maana hivi huyu mtu kamgegeda siku mbili ni kweli mimba inaweza kuingia lkn siku zake hajaziona ndani ya siku mbili au alikupa mrejesho baada ya wiki mbili mana ninachojua turejee kwenye menstruation cycle yake.alikuambia yuko danger lkn hakuona period yake baada ya mda gani?
 
Ina maana hivi huyu mtu kamgegeda siku mbili ni kweli mimba inaweza kuingia lkn siku zake hajaziona ndani ya siku mbili au alikupa mrejesho baada ya wiki mbili mana ninachojua turejee kwenye menstruation cycle yake.alikuambia yuko danger lkn hakuona period yake baada ya mda gani?
nimemgegeda cku mbili mfululizo, cku ya tatu anasema ana mimba yangu. inaingia akilini?
 
To be continued linii...........................?
 
Back
Top Bottom