Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

Eti siku mbili tu mimba imeingia, wewe ulitaka ziwe siku 202?
Ndio ujipange umeshakuwa baba tayari
 
wiki iliyopita ya pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari, nikawakubalia, ilivyofika hjiyo cku nikawafuata saa 5 ucku, ili waandae mizgo yao kwanza. Ghafla nashtuka namuona mtoto mrembo kavaa kanga ni mweupe akiwasaidia kubeba mabegi na kupakia kwenye gari, ikabidi nimuulize sista kwamba huyu dada ni nani, akanijibu ni dada wa nyumba ya pili hapo tumemuomba awe anakaa hapa kwa mda sisi tukiwa india, maana hapakua na mtu nyumba yote ile. nikamjibu OK, akili yote iliamia kwa yule mrembo. mda ukafika nikawapeleka airport nikakaa nao mpaka saa saba nikageuza kurudi zangu. nikasema hata lazima nirudi kulekule kwa sista nikamalizane nae yule mtoto, kwa kisingizio cha kusahau ufunguo. aisee nilikamua mafutaa mpaka mbez beach, ninakaa nao karbu umbali wa km3 toka kwao. nikafika nikapga hodi, mtoto akaja fasta akauliza nani, nikamjibu kaka rich hapa nimesahau funguo ya gheto kwangu, akasema wapi, nikamjibu kwenye kochi, akasema subiri nikuletee, nikamjibu poa, hapo bado hajafungua geti, na ufunguo nilikua ninao mwenyewe, akarud akisema hauoni, nikamwambia fungua nije niangalie mwenyewe,,akafungua geti( KOSA) nikazama ndan nikijidai natafuta ufunguo, saa saba ya ucku hiyo, huku yeye kasimama ameshika kiuno ananiangalia ninavyohangaika kubidua masofa ya watu kama kweli vile. nikamwita anisaidie, akaja, nikasema hapana ngoja nivue shati maana naswet vbaya, uzalendo ukanishinda nikamfata kwa nyuma nikamkumbatia lahaulaa akapiga kelele, nikamwambia usiogope, nikamweleza yaliyo moyoni yote mtoto akaelewa ila akawa mgumu kujirahisisha, akakimbilia chumban kwake na mlango kaacha wazi akisema nisimsumbue anataka kulala, nikacheka kimoyomoyo nikisema kwisha habar yako umeniachia mlango wazi pia umevaa kanga moja, nikamfata hukohuko nikaomba mzigo akawa anakataa mara ooh ndo tunaona mara ya kwanza, mara nipo danger maneno kibao, huku natomasa tu nikaona mtoto anapumua kwa kasi huku akiongea maneno yasiyoeleweka, nikasema tayariiii. mtoto akanipa ushirikiano vya kutosha mpaka saa 10 alfajir mwanaume naondoka kwa watu mku mtoto akinisindikiza mpaka getin, kesho yake nipo job akili yangu yote inamuwaza yeye nikasema hataa lazma niende tena, nikamwendea hewani nikaimbisha tena akakubari niende saa tano ila sio na gari maana ndugu watastukia ishu kwa sabab wapo karbu nao nawanajua muhndi kasepa na mimi saa 10. mda ukafika nikachapa lapa mpaka kwa sista nikajilia vyangu mpaka saa 12.nilishiba aisee. Balaa linaanzia hapa baada kupga mara mbili na mara mwisho, mtoto akaanza kusumbua mara ooh cioni cku zangu na hii itakua mimba yako, nikamwambia acha ujinga wako yaani cku mbili tu cku huzioni, hiyo itakua ya watu wengine unataka kunisingzia, mi sihusiki, nikaanza kupokea matusi ya kutosha na pia akinitishia kuwa atamwambia csta kwamba cku ile nilivyowapeleka airport nilirudi kumbaka. aisee nilitaka kuangaka kwenye kiti ofcn, kuhusu kama akimwambia csta huu ujinga nilioufanya kwake. ikabidi niwe mpole tu kukubali hali, akili inanituma nikamchoropoe bila ya yeye mwenyew kujua, maana baby wangu akijua hili nimekwisha. nataka nimpelekee zawad ya juice iliyo na vikorombwezo vya kuitoa hiyo mimba. mimi ni pharmacist.
Famasit mimba inashika kwa siku ngangi maana itakuwa ni new sizain tujuzee nasi?
 
pharmacist gan unayeshangaa siku 2 mimba
ama kweri wasomi wetu wa siku hizi bure kabisa
ilitakiwa wewe ndo utoe dalasa lkn wewe ndo washangaa
duh ! labda huo upharmacist wako wa kwa Dr. mwaka yaan wa hapa na pale
 
kumbe ulidhani mimba inaingia miezi 9? kama inavyokuwa? na hiyo pasaka ni ya mwaka jana au ??. mana tangu pasaka iishe ni week sasa inakuwaje amegundua siku zake zimepita???? au sijaelewa story wenzangu?
 
Hizi elimu za bongo majanga matupu. Unaweza toa hata machozi.

Mtu anajiita mfamasia na hajui mimba inatungwaje? Ooh. Nooo!! It can' t be broda!!


Hiyo elimu uliipatia wapi?
 
kumbe ulidhani mimba inaingia miezi 9? kama inavyokuwa? na hiyo pasaka ni ya mwaka jana au ??. mana tangu pasaka iishe ni week sasa inakuwaje amegundua siku zake zimepita???? au sijaelewa story wenzangu?

Nafikiri ni pasaka ya mwaka jana..

Wanaume wa Dar majanga matupu. Hata wanaojiita wasomi wamekaa kitoto tu...
 
Hongera kwa muweza kumpa mtu mimba Kaka Rich
 
Kuunganisha uzi nayo kazi mkuu.. hujui mimba inaingiaje at the same time wewe ni phamasia.. ngumu kumeza.. andika orodha ya mahitaji shule karibu zinafunguliwa umpelekee mzazi wako. Huku Jf hakukufai.
 
wanaume tuna kazi, mahusiano mengi ya kimapenzi lazima yanaleta confusion, mi nimeacha kuuliza mwanamke kwa sasa. Nikama story yako yamenitokea last month, dada mmoja (frankly speaking sikuwa namfaham wala sijawahi kumwona) alikosea namba akatuma sms ya kimapenzi kwenye cm yangu, bahati mbaya sana cm akawa nayo mrs na akaisoma, palichimbika....baada ya mwezi mrs amekomaa na issue nikaamua kumtafta, huyo dada nikwamwimbisha, akakubari nikamtumia nauri akasfiri kutoka mkoa mmoja kuja mkoa mwingine niliko. Kumwona hivi ni dem bomba, tukaenda kutest HIV, wote tukawa poa. Tukaenda zetu kupumzika, nimtia ucku mzima kwa hasira nikifikiria alivoleta mgogoro kwenye ndoa yangu, na hakujua nilipataje namba yake maana nilitumia laini tofauti na ile aliyoitumia sms. Baada ya wiki eti nina mimba yako...nikaona hii ni tabu nyingine kubwa, nikasajili laini mpya za cm ili asinipate milele.

Nakushauri ndugu kwa uchungu mkubwa sana. Hakuna kitu kibaya kama mtoto kutokumfahamu baba yake maisha yake yote na wewe upo hai. Afadhali ajue hata umekufa kabisa haitakuwa tatizo. Utaweka kidonda kikubwa sana kwa mama yake kama utamfanyia hivyo.

Jaribu kutafuta hata sehemu anayoishi ufahamu kwake hata ndugu mmoja for the sake of your child only. Inauma sana maana me ni mhanga wa haya mambo na nisingipenda mtoto mwingine yyote apitie hali niliyopitia.

Utamsababishia binti wa wa watu madhara makubwa sana. Jaribu kurudisha mawasiliano naye na mwambie umeoa ila utamtunza mtoto wako kama kweli mimba ni yako
 
Kichwa cha habari umeandika unakimbizwa wakati ulipodondoka kwenye kiti ofisini
 
Hizi elimu za bongo majanga matupu. Unaweza toa hata machozi.

Mtu anajiita mfamasia na hajui mimba inatungwaje? Ooh. Nooo!! It can' t be broda!!


Hiyo elimu uliipatia wapi?
Itakuwa kwenye moja ya vicollege vya uchochoroni manzese pale
 
Mimi kama nimeelewa kwamba ndani ya siku mbili binti akasema ana mimba kitu ambacho hakiwezekani au sio famasia.[/QUOTE nafikir wewe peke yako ndo umenielewa, una upeo mkubwa sana bro
 
kumbe ulidhani mimba inaingia miezi 9? kama inavyokuwa? na hiyo pasaka ni ya mwaka jana au ??. mana tangu pasaka iishe ni week sasa inakuwaje amegundua siku zake zimepita???? au sijaelewa story wenzangu?
changamsha akili hiyo, utaelewa tu kama nafanyiwa usanii mama. rudia kusoma, na ni juzi tu hapo.
 
Wakati unatumbukiza.mfagio wako huko kwa k ya binti mbona hukuja kulia kwa raha uliokuwa unapata? umempa mimba unakujalilia hapa km madume ya mbwa yale yaliyomkisa jike ,siku zake za joto?wewe mpharmacia gani ,unatutia aibu kwenye fan
 
Tahadhari ulipewa yupo kwenye siku mbaya sasa amenasa mimba unalialia.
 
Wakati unatumbukiza.mfagio wako huko kwa k ya binti mbona hukuja kulia kwa raha uliokuwa unapata? umempa mimba unakujalilia hapa km madume ya mbwa yale yaliyomkisa jike ,siku zake za joto?wewe mpharmacia gani ,unatutia aibu kwenye fan
irudie kusoma vzur utanielewa, na kesho na kuja kukufungia DLDM lako
 
irudie kusoma vzur utanielewa, na kesho na kuja kukufungia DLDM lako
Narudia wakati unafurahia hiyo raha,huku focus km una mchumba.wako,hukuwaza km binti alikuwa na nani ni mzima kiafya,ukazama bila hata kinga?mpharmacia gani wewe nyumbu?usijua kufocus
 
Back
Top Bottom