ata mi najua kanibambika, ndo maana nimeshangaa, alikua anayo kabla, so mi nilivyoingia akaona hapa ndo pakuibambika. kchwan uko vzur bro, sio hayo manyumbu yasiojua kusoma na kutafakari.hiyo sio yako mkuu usikubali
Aisee naona watoto wengine wanaotelekezwa na baba zao wanaongezeka. Hongera mkuu kwa kuleta mtoto atakayekuwa na maumivu moyoni kwa kumkosa babawanaume tuna kazi, mahusiano mengi ya kimapenzi lazima yanaleta confusion, mi nimeacha kuuliza mwanamke kwa sasa. Nikama story yako yamenitokea last month, dada mmoja (frankly speaking sikuwa namfaham wala sijawahi kumwona) alikosea namba akatuma sms ya kimapenzi kwenye cm yangu, bahati mbaya sana cm akawa nayo mrs na akaisoma, palichimbika....
Baada ya mwezi mrs amekomaa na issue nikaamua kumtafta huyo dada nikwamwimbisha, akakubali nikamtumia nauri akasfiri kutoka mkoa mmoja kuja mkoa mwingine niliko.
Kumwona hivi ni dem bomba, tukaenda kutest HIV, wote tukawa poa. Tukaenda zetu kupumzika usiku mzima kwa hasira nikifikiria alivoleta mgogoro kwenye ndoa yangu, na hakujua nilipataje namba yake maana nilitumia laini tofauti na ile aliyoitumia sms.
Baada ya wiki eti nina mimba yako... Nikaona hii ni tabu nyingine kubwa, nikasajili laini mpya za cm ili asinipate milele.
Kabla ya tendo binti alishasema yupo kwenye siku za hatari. Kinachomshangaza ni nini hata kama angemwambia siku hiyohiyo ana mimba ni sawaMimi kama nimeelewa kwamba ndani ya siku mbili binti akasema ana mimba kitu ambacho hakiwezekani au sio famasia.
Manyumbu vipi na uliambiwa kabla ya tendo kuwa yupo kwenye siku za hatari? sasa kama binti anajielewa yupo kwenye ovulation period na wewe ukazama pekupeku si hata siku hiyo hiyo anajua kuwa umeshampa mimba?ata mi najua kanibambika, ndo maana nimeshangaa, alikua anayo kabla, so mi nilivyoingia akaona hapa ndo pakuibambika. kchwan uko vzur bro, sio hayo manyumbu yasiojua kusoma na kutafakari.
Biblia inasema hvi ktk ISAYA 33:1
"Olewako ww uharibuye ila hukuharibiwa,utendae hila wala hukutendwa hila!Utakapo kwisha kuharibu utaharibiwa na ww na utakapo kwisha tenda kwa hila,wao watakutendea hila ww"
Hilo neno linajitosheleza tukiwakataza uzinzi hamusikii.
gombo la chuo hilodaah umeuliza swali zuri sana, ulipata 1.3 Alvel bila shaka, siku mbili baada ya tendo kesho yake anapga cmu anasema nina mzgo wako!!!! haiiningi akilini.Siku mbili za nn baada ya tendo au siku mbili kufanya tendo?
mamafive mtoto ataka nyonyoManyumbu vipi na uliambiwa kabla ya tendo kuwa yupo kwenye siku za hatari? sasa kama binti anajielewa yupo kwenye ovulation period na wewe ukazama pekupeku si hata siku hiyo hiyo anajua kuwa umeshampa mimba?
hahaha! unali hilo!!!!! mi sina mtoto mdogo au unamaanisha mtoto yupi?mamafive mtoto ataka nyonyo
Kwa hiyo ukimlala mwanamke leo na kesho, keshokutwa akikuambia haoni siku zake utafurahi mimba ni yako? teh teh daah!!pharmacist upo shallow biology hivyo au unatuzuga??? unauliza mimba siku mbili? halafu unaweza ukamsababishia mtoto wa watu madhara na hayo masumu unayopanga kumpa, hovyo kabisa