Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,700
Kupiga ngoma ni utamaduni wa kujivunia kwa mwafrika anayejitambua.Saizi Siyo fundi viatu Bali mpiga ngoma
Hahahaaaa eti Mrema tuokoe, mrema huyu huyu ndunila kuwili mchumia tumbo??Kwa wahenga tu sikiliza wimbo wa dk remmy ongala wa -Mrema, ambao alisema kuwa ccm imemchagua fundi viatu kuwa mwenyekiti na hajui taratibu za chama,
Maneno hayo ni kuanzia dk ya 3
Pitia video
Pengine ulikuwa mtoto mdogo i don’t know. Lakini Mrema alitingisha mbaya kabisa. Yeye ilikuwa ni a one man show.Hahahaaaa eti Mrema tuokoe, mrema huyu huyu ndunila kuwili mchumia tumbo??
Hahahaaaa eti Mrema tuokoe, mrema huyu huyu ndunila kuwili mchumia tumbo??
Kwa wahenga tu sikiliza wimbo wa dk remmy ongala wa -Mrema, ambao alisema kuwa ccm imemchagua fundi viatu kuwa mwenyekiti na hajui taratibu za chama,
Maneno hayo ni kuanzia dk ya 3
Pitia video
Kama ulishiriki uchaguzi 95 utajua nguvu yake, huko mashujaa moshi alikuwa anajaza watu kuliko hata nyerere na benHahahaaaa eti Mrema tuokoe, mrema huyu huyu ndunila kuwili mchumia tumbo??
Si alikuwa.anafanya majukumu.mpaka akamkamata sitti mwinyi?Wengine wanalalamika eti amewaingilia
Huu mstari ulikuwa na maana gani
Wengine wanalalamika eti amewaingilia
Huu mstari ulikuwa na maana gani
Mmeletewa Magu mjue faida ya kuwa na Rais mwenye busara na hikma
OkKwa wahenga tu sikiliza wimbo wa dk remmy ongala wa -Mrema, ambao alisema kuwa ccm imemchagua fundi viatu kuwa mwenyekiti na hajui taratibu za chama,
Maneno hayo ni kuanzia dk ya 3
Pitia video