Siku kama ya leo 1995, Serikali ya Mkapa ilimtia msukosuko Dkt. Remmy Ongala kwa wimbo wake kuhusu Mwenyekiti wa CCM

Kwa wahenga tu sikiliza wimbo wa dk remmy ongala wa -Mrema, ambao alisema kuwa ccm imemchagua fundi viatu kuwa mwenyekiti na hajui taratibu za chama,
Maneno hayo ni kuanzia dk ya 3
Pitia video


Hahahaaaa eti Mrema tuokoe, mrema huyu huyu ndunila kuwili mchumia tumbo??
 
Kwa wahenga tu sikiliza wimbo wa dk remmy ongala wa -Mrema, ambao alisema kuwa ccm imemchagua fundi viatu kuwa mwenyekiti na hajui taratibu za chama,
Maneno hayo ni kuanzia dk ya 3
Pitia video



Muhenga mwenzangu wimbo huu ulitoka kipindi bado yupo Waziri wa mambo ya ndani na naibu waziri Mkuu.

Hapa Mkapa alikua bado hajawa rais na wananchi wengi walikua hawamtambui.
 
Mwenye busara na hekima mkewe hawezi kumgomea kumfanyia kampeni mumewe KAMWE. Mwenye hekima na busara KAMWE hawezi kuwatusi wastaafu eti wanawashwa washwa. Mama aliona mbali kuhusu huyu dikteta uchwara, fisadi muongo na mwizi sasa inakula kwetu.

Mmeletewa Magu mjue faida ya kuwa na Rais mwenye busara na hikma
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom