siku JESHI likiigeuka serikali.


bojuka

Senior Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
128
Likes
0
Points
0

bojuka

Senior Member
Joined Sep 9, 2010
128 0 0
kila kukicha viongozi wa ccm wamekuwa wanatumia jeshi la polisi kwa maslahi ya ccm kana kwamba lipo kwa ajili ya chama chao lakini wakae wakijua kuwa haki zinazodaiwa na wananchi wa tabaka la chini ndio hizo ambazo hata polisi wangependa kuzipata.

Ni vipi siku wakiasi?
 

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,349
Likes
428
Points
180

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,349 428 180
Hawawezi kuasi bila system kujua kuna mapandikizi umo Nyerere alishajifunza toka enzi za army mutiny enzi izoooooooooooooo
 

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,962
Likes
1,420
Points
280

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,962 1,420 280
:smile-big: YAANI.... NI MPAKA MIGODI YOTE IME HAINA MADINI TENA, NA WAKUU WA MIKOA, WILAYA, IDARA WAWE SI WANAJESHI:tape:
 

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
14,056
Likes
6,652
Points
280

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
14,056 6,652 280
Wewe unafikiri wanafurahia kuishi kwenye fulsuti ya mabati kama njiwa? Halafu waende kuwalinda mafisadi kwenye mahekalu yao usiku wakijirusha na familia zao huku wao askari(FFU) wakikesha kuumwa mbu. Ufashisti wa CCM nao una mwisho, na hao hao wanaowatumia kutuvurumishia mabomu ndiyo watakao amua huo mwisho.
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Messages
2,466
Likes
371
Points
180

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2010
2,466 371 180
Kwanza hao police wenyewe wanaishi kwenye nyumba za mabati utafikiri mammbwa wakati mafisadi au ma-criminal ya tanzania yaishi kwenye mansion house, wapumavu tu hao pilice wa tanzania. nguo zenyewe wanazovaa zinaviraka aibu kweli police kwa police wetu kuvaa sare za viraka.
 

Forum statistics

Threads 1,203,932
Members 457,046
Posts 28,135,376