Siku izi Umekuwa Zooba...

Siku izi Umekuwa Zooba...

Sikuwahi kufikiria kama ingefika kipindi niitwe Zoba!!

Zoba ni mwanaume wa aina gani!!
1.Hatongozi.
2. Haongi.
3. Kila mwanamke anamwona kama Dada yake....

Ndiyo situation ninayokutana nayo sasa.
Nimekutana na mababes kadhaa tuliozoeana nao vizuri siku za nyuma, haswa misimu kama hii!!

Mitoko ya hapa na pale!! but this time no...last year no!!
Kila mtu ana muda wake wakubadilika na kutulia na kuchagua hata watu wakutoka nao!!

Kubadilika sio Uzoba...
Warembo msinione zoba kwa kuwanyima elfu hamsini...
Msinione zoba kwa kutoshiri vikao vya dompo...
Msinione zoba kwa kuhudhuria ibada sana...
Msinione zoba kwa kutokupenda tena Papue(papuchi) zenu!!

Kidogo Kidogo tutaelewana tu!!

Ha ha ha. Safi sana mkuu. Genuinely nakupongeza sana kwa kubadilisha lifestyle yako for the good. Ila hizi changes zako zina uhusiano wowote na kazi za mikono ya mkuu wetu wa kaya JPM? Am just curious bro!
 
Kuna mmoja nilimskia akiwa anaongea na simu " ebwana nimebanwa na haja kubwa lakini siwezi kwenda..... maana nimeminywa na kibanio makalioni na nimeambiwa kikianguka ushahidi wa kunipeleka mahakamani yaani hapa hata kutoa hewa kwa chini siwezi nimebaki nabeua mdomoni tuu na wakati huo huo niko kwenye diet ya kula mchicha tuu usiku".

Nilikuwa nyuma yake tunatembea mtaa wa Samora aiseeh nilishindwa kujizuia kucheka.... niliangua kicheko hadi ikabidi niingie jengo la nhc nikamalizie kucheka maana jamaa alikuwa anaongea kwa sauti kubwa, hata mwondoko wake alikuwa kama ana jipu makalioni hahahahahahahahahahaaaa

Kasie.
 
Kasie umeua bendi aisee. Hii kali daaah. Hiki kitendawili ni kigumu...chagua mji. Ha ha ha
 
Back
Top Bottom