Siku izi Umekuwa Zooba...

Siku izi Umekuwa Zooba...

Teh Teh umenikumbusha wimbo wa Banana Zahiri Zoro..
 
Keep it up mkuu....Uamuzi huo unakuwaga na mfululizo wa majaribu ile mbaya hadi wale usiokuwa umewadhania utashangaa wanajilengesha..Shetani ana mbinu mingi sana...
 
kweli kabisa... hiki kikombe kukiepuka ni ngumu lakini inawezekana...
 
Sikuwahi kufikiria kama ingefika kipindi niitwe Zoba!!

Zoba ni mwanaume wa aina gani!!
1.Hatongozi.
2. Haongi.
3. Kila mwanamke anamwona kama Dada yake....

Ndiyo situation ninayokutana nayo sasa.
Nimekutana na mababes kadhaa tuliozoeana nao vizuri siku za nyuma, haswa misimu kama hii!!

Mitoko ya hapa na pale!! but this time no...last year no!!
Kila mtu ana muda wake wakubadilika na kutulia na kuchagua hata watu wakutoka nao!!

Kubadilika sio Uzoba...
Warembo msinione zoba kwa kuwanyima elfu hamsini...
Msinione zoba kwa kutoshiri vikao vya dompo...
Msinione zoba kwa kuhudhuria ibada sana...
Msinione zoba kwa kutokupenda tena Papue(papuchi) zenu!!

Kidogo Kidogo tutaelewana tu!!
N

Dd

😀 😀 namwota mmoja bana...mtindo wa wengi, haupo tena Pretiee
 
Umeandika kitaarabu na kimbeambea na kimajungu. Kuwa anti-social si sifa hata kama kuna mjengo au watoto unasomesha.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Umeandika kitaarabu na kimbeambea na kimajungu. Kuwa anti-social si sifa hata kama kuna mjengo au watoto unasomesha.
Sentensi zipi zinaashiria taarabu na umbea hapo?
 
Back
Top Bottom