Siku inakuja Magufuli atatamani kuyasikia maneno ya wakosoaji na washauri.

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,163
2,000
Kwasasa Magufuli anaamini hahihataji kusikia ushauri Wala kukosolewa na mtu yeyote ila amesahau kwamba maisha yana kupanda na kushuka.

Kwakua anashindwa kutengeneza heshima yake sasa wakati utafika atakua Ni Magufuli sio Raisi tena, atakua hawezi kuamrisha Jeshi la police kukamata wamaomkosoa atatengwa na wengi na kukosa heshima katika jamii. Hapo atatamani siku zirudi nyuma amsikilize Tundu Lisu Kwa umakini mkubwa na kujirekebisha lakini Itakua too late.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom