Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,886
- 2,766
binafsi nachukia sana na ninalo kubwa tu najaribu kufanya mazoezi but naona kama najitesa tu linaisha na kurudi soda nimeacha lakini lipo tu, sio fashion ni kwamba tunajitahidi kuyapunguza lakini juhudi hazilipi kivile
Wanatekeleza maazimio ya Beijing ya kupigania usawa na haki kati yao na wanaume. Kama wanaume wanalea VITAMBI kwa nini na wao wasilee VITUMBO.:tonguez:
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano na kalio.
Ahaaa ahaaaa hiki noma banaaIla vikizidi sana 'vinaboa'!
Mambo ya haki sawa kwa wote na wao wanapenda kukunia mbele
Mambo ya haki sawa kwa wote na wao wanapenda kukunia mbele