Siku hizi wanawake wanaendesha magari ya maana

Kwa hao wasio na kazi sina neno nao.

Ila kwa wanawake wanaofanya kazi, kuna uzi ulikuwa unauliza mke achangie kiasi gani.

Wanajamvi wakamshauri mke hapangiwi, afanye kwa hiari yake,.

Pesa ya mume ni ya wote ila ya mke ni yake.

OVA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…