Hivi nchi zilizoendelea kama US wana maswala ya ukoo? Sijui shemeji yake mjomba, bibi yake binamu na kaka yake shangazi?walichobakiza ndugu wa sasa ni kunafikiana na kuchekana, inasikitisha sana.
Unafikir majina ya Uncle, Aunt, Sijui nani in-law yametokea wapi?Hivi nchi zilizoendelea kama US wana maswala ya ukoo?? Sijui shemeji yake mjomba,bibi yake binamu na kaka yake shangazi?
Yani mnakutana msibani watu 1000 wote ndugu.
kwahyo wazungu wana maswala ya kiukoo kama huku?Unafikir majina ya uncle,aunt,sijui nani in-law yametokea wapi?
Hata hao ndugu kumi hana pa kuwatoa...Unakuta mama mtu ana kaka yake tu..Baba mtu naye ana dada yake tu..So dogo tofauti na wazazi anakuwa anajua Uncle, Aunt, grandma na grandpa.kwahyo wazungu wana maswala ya kiukoo kama huku?
Yani mara kikao cha ukoo etc.
Misiba ya watu 300+??? Wanayo?
Ninaamini US mtoto anaweza akazaliwa mpaka akafa ndugu anaowajua wasizidi 10
[emoji848][emoji848] na mimi ndo nilitaka kuuliz ivo ivoHivi mki'share baba sio ndugu eti?
Ndugu wa tumbo moja mnaweza kunafikiana?Walichobakiza ndugu wa sasa ni kunafikiana na kuchekana, inasikitisha sana.
Yaani acha kabisa mpango wangu mwakani nibaki na wanangu wawili tu ndugu tupa kule! kwanza wanafiki watupu unawasaidia halafu wanakusemanga! big up nyote mnaoishi na watoto wenu tu! Nuclear family ndugu kulostishana tu.Ujamaa na undugu ni chanzo kikubwa cha umaskini wetu, ukipata kinafasi kidogo utanyonyolewa hadi ujute... ukikaza tu utasemwa balaa.
Ni ndugu kabisa! amezungumzia tumbo akimaanisha damu moja!Hivi mki'share baba sio ndugu eti?