Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Asilimia kubwa wanauwezo, sema nia nzuri za mahitaji ya friji inakatishwa tamaa na umeme usio na uhakika.
#MosKwito !
Mkuu umejuaje hili?
....aaahhh Eiyer vipi tena? sio wewe uliyeniambia nikadirie?....au umesahau swali lako mazee?
Mkuu ninkikuambia ukadirie tu ni asilimia ngapi ya watanzania wanauwezo wa kuinunua hiyo friji achilia mbali kumudu gharama za umeme unaweza kuniambia ni wangapi?
....anyway, makadirio yangu yanatokana na uwezo wa watanzania wanaonizunguka na sehemu ninazoishi.
Still, hayo ni makadirio ya haraka tu,...hatupo kwenye ligi ya nani mjuaji zaidi bro, ni katika kubadilishana mawazo tu.
Am Out.