Sio wakaka tu, kuna baadhi ya wababa hata hawachungi binti zao siku hizi. Binti yake akiwa na bf anampeleka hadi home na mzazi hamind wala nini. Naona siku hizi ni uzungu kwenda mbele.ILa mie kaka yangu bado mkaliiiiiiiiiii!!

Kaka yako hajakutana na vidume. Mwenyewe atabloo. Nijaribu tuone.
Mume wa mtu wewe, hujui kwamba mume wa mtu sumu.
hi Pretty we ni M/F naona picha ya profile Pretty "I like to jog".
naomba unitoe utata kidogo QUOTE]
FL1 hiyo red unamaanisha Male/Female? Kama unamaanisha hivyo, karibu kundini.
hi Pretty we ni M/F naona picha ya profile Pretty "I like to jog".
naomba unitoe utata kidogo QUOTE]
FL1 hiyo red unamaanisha Male/Female? Kama unamaanisha hivyo, karibu kundini.
Nimemuuliza Pretty kama ni Male or Female wewe tuliza mzuka
Nimemuuliza Pretty kama ni Male or Female wewe tuliza mzuka
Akikujibu usisahau kunijulisha. Hasahasa akiwa F.
Akikujibu usisahau kunijulisha. Hasahasa akiwa F.
Chrispin !!!!!!!
Chrispin !!!!!!!
Yeah! Whatsup? We niPM tu mamii.
Nimemuuliza Pretty kama ni Male or Female wewe tuliza mzuka
Teh teh teh kwa niaba yake ni F
Teh teh teh kwa niaba yake ni F
Karibu kwenye ulimwengu maridhawa,unajua sikuhizi dhiki imeshika hatamu watu hawana kitu ndio maana akina kaka sikuhizi wakiona dada zao wanachukuliwa wanakuwa proud of it as wanapata uhakika hata wa kunyonya mvinyo kwa mashemeji zao,lakini pia siku hizi hawa mabinti wanazotabia za kuhonga wanaume ili wasikimbiwe tuu,sasa mimi sijui sababu ninini,au wanaume tupo wengi?
He..he..he, kwa dadaangu mimi hampati kitu babaangu...Yani mi nikupe namba ya dadaangu, au nikuunganishe, lol utakuwa umenidhalilisha sana! Kama una ishu nae mtafute mitaa ya kati huko mmalizane, huh!
PJ,
naomba namba za simu za dadaako!?!............