Siku hizi Nime Upgrade..

huo mkorogo hapo mezani sijui hata utaweza taja jina lako mapokezi lol
 
Boflo unaniangusha bana, Hiyo Red Label wanatengeneza ilala nayo. Anzia Ballentines, Black Label na kuja juu mkuu!
 
Aiseeee babaangu ukimaliza zote lazima urudishe chenji!!!! Utapike
 
Mbona kuna plaizi hapo chini ya meza? Au nyie ndo mlitoa kucha za ulimboka pale msitu wa pande na hapo ndo mna celebrate? Loh!
 
Mbona kuna plaizi hapo chini ya meza? Au nyie ndo mlitoa kucha za ulimboka pale msitu wa pande na hapo ndo mna celebrate? Loh!
Mkuu saragossa umeonaeeh? Boflo atueleze hapo anajipongeza baada ya kumtesa Dr, na kumng'oa kucha na meno kwa hiyo plaizi. :spy:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…