Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.
Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.
Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?