Siku hizi maneno hayaendani na matendo

Siku hizi maneno hayaendani na matendo

Zamani nilisikia neno ,"kazi ni wito", kama ualimu au uuguzi. Hizi watu walipenda na wakawa hodari....miaka ikaendaa imebaki ajira tu ndio inayotazamwa bila kujali mahaba ya fani, mwisho wa siku ni kuburuza kazi tu.
 
Vitu vyote vimepoteza uhalisia mpaka kwenye imani na mambo ya kiroho kote zimebaki story za majukwaani na mitandaoni
 
Hasa kwenye imani ndio msiba mkubwaaa...na vile watu wanapenda mambo ya msisimko sana, ujanja ujanja kila sekta,,, nilishangaa kanisa moja kulikua na uchaguzi wa uongozi [emoji46]nikaambiwa mmoja wa kiongozi hadi kwa sangoma kafika!!!! Hakuna kweli, kweli imebaki stori tu
 
Tunaishi kwenye material world...
Unaangaliwa una bei gani kibindoni. ......heshima na utu siku hizi vinauzwa ni malighafi adimu haipatikani hivihivi
 
Bado tuko pale pale kuongea ni rahisi kuliko kutenda na kawaida ya binaadamu huwa anataka kila kitu kifanyike kwa haraka au jinsi anavyopenda yeye.
 
Ndio maana juju linapendwa kuliko practice
 
[emoji23][emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chezea shortcut wewee..
 
1465280350695.jpg
 
Back
Top Bottom