ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Toka mheshimiwa Rais magufuli ashinde kiti chake wanaccm mmekuwa wa hovyo kabisa. Katika mijadala mbalimbali humu ndani ni dhahiri kuwa wana lumumba baadhi mmeanza kupayuka ovyo na hamna hoja za msingi kazi yenu imekuwa KUTOA maneno ya kejeli na na yenye uchochezi kwa kisingizio cha hapa kazi tu. Mmebaki mnamzungumzia fisadi mliyemtengeneza kwa miaka nenda rudi akiwa huko ccm. Mnapitwa hata akili na hawa mnaowaita nyumbu kutoka UKAWA Ambao wameonyesha umahiri katika kuzua mijadala mbalimbali iliyojaa uzalendo.
Nilitamani nitoe mifano mingi kuonyesha ni vipi mmeliharibu jukwaa limekuwa la majungu na fitina
Ngoja nitoe mfano mmoja tu nionyeshe ni vipi ccm hamjawah kujielewa hata siku moja
Kuna mtu alitoa maada kuhusu mbunge kubenea kupeleka hoja bungeni juu ya ufisad wa ESCROW. Cha ajabu badala ya watu kujadili kuhusu hoja kuu ambayo ni ufisad wenyewe watu wakaanza kumjadili kubenea. Wengine wana heshima zao lakini hawakusita kumshambulia kubenea sasa Nikabaki najiuliza ivi kweli Watanzania tutafika tunapotaka kwa style hizi kweli?
Ifike mahali tutambue kuwa sisi ni wa moja.. Matatizo yote yanayotokea wanasababisha viongozi lazma kwenye ukweli tusemezane
Na nyie nyumbu msiwe wabishi Sana mnapoambiwa ukweli kuwa chama chenu kinachojinasibu ni cha demokrasia Hakuna demokrasia pale hata picha hamuoni..Mmelishwa nini mpaka mtetee maouvu kiasi Hiki
Na nyie ccm msikatae mnapoelezwa ukweli kuwa chamani kwenu bado kuna uchafu kuliko maelezo hivo mna kazi kubwa kupambana na wala rushwa
Majungu fitina tuweke kando vitu vingine tusibishe kama kuna ukwel ndani yake
SISI NDIO WALIPA KODI NA NDIO WENYE NCHI TUNAYO HAKI YA KUHOJI