Siku hizi kupata mwenza mtumishi imekuwa kazi sana. Hii hupelekea maisha kuwa magumu sana

Mimi mwanamke ambae hawezi hata ku handle minor issues za Home kama Vitu kama Luku, Sijui kuwatoa watoto vacation huyu hanifai kabisa, Natambua jukumu la ku raise familia ni letu sote wanafamilia ila mimi Baba nikiwa ni Key player kwenye major issues biashara ya kuambiwa Chumvi hakuna sijui Kiberiti hio ni ku undermine ufatherhood wangu
 
Yani hapo shida ndo inapoanzia na sio huyo tu hata shemeji yangu ambaye ni mke wa kaka angu anatabia hyo hyo unaweza kuta daipers ya mtoto imeisha anategemea mme wake my bro kununua na wakati mwanamke ana gari ana kazi akitoka kazini ni kukimbilia nyumbani soko halijui lilipo hajawah hata kununua Carrot,au kitunguu

Yan kuna kipindi nlikaa kwao kwa almost 3days nlikua km napita nkasema kweli hilo ni bomu la Hiroshima ndgu yangu analea na bad enough ni kwamba hta baadhi ya watu wengine walokaa nae wanasema hyu bi dada ndo alivyo yan kila kitu mpka afanyiwe na mumewe

Binafsi mm naangalia nacheka nasema km basi hayo ndo mapenzi yatawafukia siku moja watu wanawake wa kizazi hiki cha hovyo hamjui wajibu wenu

Nlikaa kidgo nkasema niondoke nisije onekana mchawi wa maisha ya watu

Ila niko namfikiria kumwacha huyu mbuzi wangu A..xxxa ambaye hta kiberiti na chumvi vikiisha lazima anipigie naona siku zake zahesabika mwanamke wa hovyo sna huyu nlie nae
Mkuu nikwambie tu ukweli, mwanamke wa hivyo ni parasitic na sio mzuri kufanya nae maisha mkuu! Chunga sana usije ukaingia ndoani na mwanamke ambaye yeye hawajibiki kwa chochote kwenye uhusiano wenu bali yeye ni mnyonyaji tu.

Mwanamke anayekupenda lazma atakuwa committed na hio committment inahusisha sana kujitoa for the sake of relationship yenu. Anapoweza kusaidia awe mtu wa kusaidia tena kwa moyo sio anasaidia na kukutengenezea bango kila mkipishana analeta reference za vitu alivyofanya kwenye uhusiano wenu. Ukiona mwanamke ana tabia hio pia sio mzuri.

Implications zake huwezi kuziona leo ila utaziona siku za usoni ambapo aidha utapata ulemavu au kukosa nguvu za ku satisfy fantasies zake. Utaishi kwa mateso sana katika ndoa hio!

Hao ndio vinara wa complaining hela ikikata na wajeuri na wasaliti. Kwakuwa kashazoea yeye na kujiona anastahili kupewa endlessly atatafta danga mwisho ni usaliti na majuto.
 
Maza angesepa tu kama imefikia stage mume anagongea hela ya mke. Aisee wanawake wa kileo lazma akumalize na kale ka poison ka kimya kimya Sinza style
Huyu hawezi kufanywa Sinza style hana hela...

Wale majimama ya Sinza na kinondoni yanalenga mmiliki wa nyumba ( baba)
 
Mkuu nikwambie tu ukweli, mwanamke wa hivyo ni parasitic na sio mzuri kufanya nae maisha mkuu! Chunga sana usije ukaingia ndoani na mwanamke ambaye yeye hawajibiki kwa chochote kwenye uhusiano wenu bali yeye ni mnyonyaji tu.

Mwanamke anayekupenda lazma atakuwa committed na hio committment inahusisha sana kujitoa for the sake of relationship yenu. Anapoweza kusaidia awe mtu wa kusaidia tena kwa moyo sio anasaidia na kukutengenezea bango kila mkipishana analeta reference za vitu alivyofanya kwenye uhusiano wenu. Ukiona mwanamke ana tabia hio pia sio mzuri.

Implications zake huwezi kuziona leo ila utaziona siku za usoni ambapo aidha utapata ulemavu au kukosa nguvu za ku satisfy fantasies zake. Utaishi kwa mateso sana katika ndoa hio!

Hao ndio vinara wa complaining hela ikikata na wajeuri na wasaliti. Kwakuwa kashazoea yeye na kujiona anastahili kupewa endlessly atatafta danga mwisho ni usaliti na majuto.
Sasa mwanamke usipomtunza unadhani ataacha kukusaliti? We uliona wapi?

Yaan lazima ana watu tofauti tofauti wenye kipato, na badae anakimbia kabisa
 
Mimi mwanamke ambae hawezi hata ku handle minor issues za Home kama Vitu kama Luku, Sijui kuwatoa watoto vacation huyu hanifai kabisa, Natambua jukumu la ku raise familia ni letu sote wanafamilia ila mimi Baba nikiwa ni Key player kwenye major issues biashara ya kuambiwa Chumvi hakuna sijui Kiberiti hio ni ku undermine ufatherhood wangu
Very true kwa mwanamke wa hivo hafai asee ..sasa ina maana hela ake anapeleka wapi? Kama hata vitu vidogo vinamshinda??
 
Mwanamke anayekupenda lazma atakuwa committed na hio committment inahusisha sana kujitoa for the sake of relationship yenu. Anapoweza kusaidia awe mtu wa kusaidia tena kwa moyo sio anasaidia na kukutengenezea bango kila mkipishana analeta reference za vitu alivyofanya kwenye uhusiano wenu. Ukiona mwanamke ana tabia hio pia sio mzuri.

Implications zake huwezi kuziona leo ila utaziona siku za usoni ambapo aidha utapata ulemavu au kukosa nguvu za ku satisfy fantasies zake. Utaishi kwa mateso sana katika ndoa hio!

Hao ndio vinara wa complaining hela ikikata na wajeuri na wasaliti. Kwakuwa kashazoea yeye na kujiona anastahili kupewa endlessly atatafta danga mwisho ni usaliti na majuto.
🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
 
Sasa mwanamke usipomtunza unadhani ataacha kukusaliti? We uliona wapi?

Yaan lazima ana watu tofauti tofauti wenye kipato, na badae anakimbia kabisa
Unajua kumtunza mwanamke ni jambo zuri ila ikiwa matunzo ndio yameshikilia mapenzi ni jambo la hatari mno!

What if leo nina uwezo wa kukutunza ikatokea ya kutokea nimefilisika? Unafikiria nini kitatokea au wale wanaume wanaoita wanawake ni nyoka chanzo ni kipi?
 
Huyo wa hivyo ni extreme, mwanaume ambaye hajishughulishi kabisa anategemea uume wake ndio umlishe na kumvisha ni fala!

Wacheza play station na kucheki movie kwenye mageto ya mademu zao hao ndio wa kuwafurumusha.
Na ndio yamejaa mtaani yaani ..typical na mleta uzi kama umesoma uzi wake vizuri, yaan anataka mama mtumishi na amuombee mkopo afungue biashara, hapo yy hana hata mia mwanamke aliyomkuta nayo

Mbupu zimelala kwenye sofa kashikilia remote kwa shemeji!

Usione hizo comments zake sasa hivi zime neutralize baada ya kufurumushwa na wanaume wenzie huko juu..

Ndo anajifanya eti sasa hivi kusaidiana, yaaan
 
Hahahahahha kama essence ya uzi ilikuwa kujilegeza tu hilo ni Big No! Ila kushirikiana kwenye kufanya maisha hilo ni sahihi its for the better.
 
Soma vipindi vya G-Funk
Anakupa darasa la bure kabisa. Sio mbaya lakini nimetambuwa wewe ni slow learner. Tutaenda nawe taratibu.
Ukiondoa umariooo...we ni taahiraa, unalitambua hilo?

Acha kujipendekeza kwa mwanaume mwenzio, kujishikiza shikiza! Simama kama mwanaume tetea liuzi lako la kuomba omba misaada kwa wanawake!

Wasted sperm!
 
Serikali haiajiri.
Watoto wazurizuri wako mtaani wamemaliza vyuo hawana ajira.

Mitaji ya biashara hamna. Hivyo basi vijana wengi huamua kujilipua tu. Either unambahatisha mume mwenye ajira mke hana au unambahatisha mke mwenye ajira mume hana.

Aisee hizi kapo zinapoanza maisha hakika yanakuwa magumu sana.

Ni vizuri zaidi kama mmoja akiwa mjasiria mali ili awezeshwe na mwenzie coz watumish wana mikopo. Kinyume na hapo mambo yanakuwa magumu sana.

Sasa sijui mfanyeje vijana wangu.. dah!

Em ngoja tupate maoni ya wadau kwanza.
Yaani kama una mawazo hayo , futa kabisa katika akili yako ,yaani utegemer mshahara wa mwanamke kulainisha maisha yawe smooth huko ni kujidanganya uliza walio na wake watumishi ,watakwambia ....achana na mawazo ya kiduwazi pambana mwenyewe mpk kieleweke
 
Hahahahahaha

Anataka mtumishi aweke girisi kwenye maisha yake
 
Unajua kumtunza mwanamke ni jambo zuri ila ikiwa matunzo ndio yameshikilia mapenzi ni jambo la hatari mno!

What if leo nina uwezo wa kukutunza ikatokea ya kutokea nimefilisika? Unafikiria nini kitatokea au wale wanaume wanaoita wanawake ni nyoka chanzo ni kipi?
Iko hivi ukimtunza mwanamke vizuri siku uko poa, hata siku ukiishiwa hawezi kukuletea zengwe atasema mbona alivyokuwa vizuri alinipendezesha na hii ilishawahi nitokea mimi binafsi, sikumtupa yule kaka nilikumbuka wema wake, so na mimi nikalipa fadhila!

Turudi kwenye comment yako, sasa usipomtunza mwanamke na siku ukaishiwa utafanyiwa vituko coz haoni umuhimu wako kwake, we huoni wale wanawake mwanaume akianza kuugua wanakimbiwa, na unakuta kabisa mwanamke anasema aku silitunzi mimi lilininyanyasa wakati lina hela...hii ndo mifano halisi sasa!

Muweke vizuri demu,wife wako hata siku ukifulia hakutupi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom