Siku hizi kula ugali kupenda

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
41,878
50,473
Hali imezidi kuwa nzuri kwa watanzania.na lile gap kati ya masikini na tajiri linazidi.kufutika..
Huku kwetu bei ya unga kilo moja ni 1900.hii bei haina tofauti na bei ya mchele wanaokula matajiri.
 
Back
Top Bottom