Siku hizi hatujibu hoja bali matusi.

Siku hizi hatujibu hoja bali matusi.

Mleta hoja yuko sahihi. Naona hapa matusi tayari.
 
Ukiona mtu hajibu hoja bali matusi ujue hawezi kupinga kilicho semwa zaidi anakukwaza kwa matusi ili urushe ngumi au mhame kwenye mada husika
 
Back
Top Bottom