EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
wakuu naishi nyumba ya kupanga kuna binti wa mama mwenye nyumba alikuwa ananitupia shikamoo kila akiniona lakini baada ya wiki mbili hanisalimii na tukionana ni full kurembua nikajaribu kuuliza wadau hii nini au kuna nini wadau wakasema huyo anataka dushelele je ni kweli binti akiwa anakusalimia mara salamu ikakata basi ni dalili tosha anataka dushelele?