kwani hao wanaume wanafanya peke yao au na jinsia nyingine?Nabisha,haswa wanaume hawatosheki,ku beep kumo
Zamani mtu anazaa na jirani na mtoto analelewa alikozaliwa bila kuleta mushkeli semasiku hizi uvumilivu hakuna.
Unafikiri msemo wa kitanda hakizai haramu umetoka wapi na maana yake ni nn?
Si katika mapenzi wala urafiki hakuna uaminifu