Siku CHADEMA ikifa

Mujumba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
853
Reaction score
306
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELO ( CHADEMA) NI mmoja ya vyama vya upinzani nchini ambacho kimeonyesha japo kwa kiasi kuitikisha ccm na kuonekana kukubalika na vijana wengi wa kijiweni na wale wenye uelewa mdogo wa mabo ya dunia, najiuliza siku chadema IKIFA TUTAPATA CHAMA KINGINE KAMA HIKI??/
 
Mkuu hata Nccr, Cuf vilishawahi kuwa tishio
 
chadema haiwezi kufa. sana sana watajichanganya tu halafu 2015 ccm itashinda tena kwa kishindo.
 
so unataka kutuaminisha kuwa chadema ni chama cha watu wa kijiweni na wenye uelewa mdogo? Nafikiri wewe akili zako ni kama za bata. Hujui kuwa mtaji wa ccm ni hao watu uliowataja!!?
 
simple, acha kujiuliza.
 
Mwanaume hakimbiagi tatizo bali hukabiliana nalo. Kipimo cha uwanamume ni challenges. Usijali mkubwa kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Ila usidhanie na kulipa nafasi kila unalofikiri linakusumbua akilini kama. Ipe support chadem kama unaamini itasimama.
 
Unadhani kila mtu ana uelewa mdogo kama wewe?
 

We ndo unauelewa mdogo...mashuleni vyuoni chama kikuu ni chadema...labda ni wewe pekee mwenye uelewa mdogo
 
CHADEME ipo ICU chini ya uangalizi wa BABU wa LOLIONDO(SLAA),bado anaamini kikombe kimoja tu CHADEMA kitapona.

Hali ni mbaya sana,nipo hapa vijana wa BAVICHA wanamikakati mizito ya kuwashambulia wasaliti wao.

...guess who is next to CHADEMA....Kazi bado mbichi sana kwa wapinzani
 

dalili ya mvua ni mawingu, chadema soon will collapse
 

KWELI WEWE SIDHAN KAMA UNA UPEO WA KUTOSHA KTK KUFIKIRI,KAMA HUNA Kaa na umpendae mpeane mikasi,chadema tuachie wenye nayo ww hisa yako ya akili iko kwenye (-ve)
 
Chadema haiwezi kufa kwa sababu CHADEMA ni ideology. Ni vuguvugu la maendeleo. Haliwezi kufa. Linaweza kubadilishwa jina lakini vuguvugu hili liko katika mioyo ya hao wanaoamini.
 
Mwanangu Mujumba, ulishajiuliza siku ikifa nini kitatokea? Kwanini umependa mada ya kufa kwa CDM na siyo kuchukua nchi? Heri ungeanza kutabiri kifo cha magamba. Je wewe ni mtabiri au gamba? Je wewe unaonaje kama CDM itakufa kama upendavyo itakuwaje? Je na CCM ikifa itakuwaje? Unajisikiaje kwa ushauri wangu?
 

kacheki mtindio wa ubongo.Unadhani vijana wa CDM wote wapo kama wewe.Watu wanajiweza kifedh na kiakili.
 
1.vijana wengi hasa wasomi wataka tamaa na nchi yao.
2.magamba watafuja na kuiba rasilimali zetu kzaz hadi kzaz.
3.dalili za kutokea waasi wa kuiondoa ccm madarakan ztaonekana.
4.ndo mwisho wa upinzani tz,watabak mamluki kama kina masalia,choyo,pumba,murema,kumbatia,mzito,kwan hawana madhara kwa magamba. CCM OYEEE,ONGEZENI CCM WENZANGU MAANA CHADEMA WAMEZIDI BORA WAFE TU AAH.
 
Kweli kabisa mkuu....haya Nenda Ufipa kachukue ya leo ukalishe watoto
 
Kweli kabisa mkuu....haya Nenda Ufipa kachukue ya leo ukalishe watoto

endeleeni tu si mlishatufanya watz maboya,ajira hakuna,elimu imedumaa,mmeficha mamilion nje ya nchi,kila miradi mnachota mabilion,szan kama ww ni miongon mwa vjana au mwananch wa kawaida uwenda ni miongon mwa wale wanaofaidka na kod zetu,raslmal za nchi hii,au chama klchopo madarakan out of hapo ww ni lofa au punguwani kushabkia ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…