Siku CCM ikitoka madarakani yatafichuka mangapi?

Siku CCM ikitoka madarakani yatafichuka mangapi?

Tutawapiga fimbo za migongoni huku mtaani wee subiri tu.ficiemu shity.
 
mkuu unamaanisha kule nchi jirani ya Zenji au hapa tanganyika? maana huenda tunafikiria sawa ila tu hujafunguka!

Ungekaa kimya hatungejua kiasi cha ujinga na upumbavu wako. CCM ni marehemu anayeishi kwa wizi ili ifiche maovu yake yasifichuke. Kuondoka madarakani ni lazima
 
Back
Top Bottom