Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,842
- 50,554
- Thread starter
-
- #21
Wengi hudhani tatizo letu ni watu mmoja mmoja waliomo CCM, kumbe tatizo letu ni uwepo wa CCM yenyewe kwa ujumla wake!!Nafurahia sasa maana Ule ubishi wa kipumbavu wa ushindani kati ya MAMA na JIWE unayeyuka.
Adui namba MOJA ni CCM, maana ndani yake ndimo kuna magenge ya kiharamia yanayotukwamisha kama NCHI.
Ameeeen.
CCM haiwezi kufa kama Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamebaki kujikomba kwa CCM, inakufaje kwa mfano?Kwa miaka zaidi ya thelasini CCM imekuwa ikifanya kila iliwezalo kusiwe na chama kingine cha siasa nchini Tanzania. Lakini juhudi hizo za CCM dhidi ya vyama vingine kumbe zilitakiwa zifanywe dhidi ya CCM yenyewe.
CCM ndiyo chama pekee kilichokuwa madarakani tangu Tanganyika ipate Uhuru na Zanzibar ifanye mapinduzi. kwa ivo kila baya unaloliona linatendwa na serikali ya Tanzania jua linatendwa kwa kuwa CCM iko madarakani.
Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
Wanajikombaje??CCM haiwezi kufa kama Viongozi wa Vyama vya Upinzani wamebaki kujikomba kwa CCM, inakufaje kwa mfano?
Hahaha.......Allen amerejea!Point tupu
Hatari snHahaha.......Allen amerejea!
lakini salama!!Hatari sn
Poa mkuulakini salama!!
Tuungane kuikomboa nchi yetu kwa kuungana kuiondoa CCM madarakani ibakie kwenye vitabu vya Historia!!Poa mkuu
DEMOKRASIA imekua, hoja zako haziegemei CCM au CDM bt unadai mabadiliko. Hatua njema Hy.Tuungane kuikomboa nchi yetu kwa kuungana kuiondoa CCM madarakani ibakie kwenye vitabu vya Historia!!
Kwa ivo CCM ndiyo umeona wana maono??Ife alafu washike nchi kina nani? Na hata ikifa hakuna chama cha maana kwa sasa chenye maono ya kuweza kuinua hii nchi.
YES NOYES or NO.
Hujaelewa nn hapo nilichokiandika?Kwa ivo CCM ndiyo umeona wana maono??
Hujawahi kuona mazuri ya Ccm ?Siku CCM isipokuwa madarakani ndipo Tanzania itainuka kiuchumi, kijamii, kimataifa na kwenye kila kitu kilichokwamishwa na uovu wa CCM.
Khe!!Hujaelewa nn hapo nilichokiandika?
Kuyaona wapi sasa...Hujawahi kuona mazuri ya Ccm ?