Acha dhihaka, "Mungu" na "Mungu wa darisalama" walimuua Ben SaananeIgwe wana JF,
Itakuwaje siku Ben Saanane akipatikana mithili ya Nondo? Kadri wanavyopatikana wadau wa "am at high risk" kunatoa matumaini kuwa wengine ipo siku wataibuka.
Nini kitatokea Ben Saanane akiibuka mithili ya Nondo?