Siku ambayo sitaisahau!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
Ni siku ambayo nilitolewa Balu kwenye Jukwaa la Wakubwa, nilijifanya kuleta changamoto, lakini wanaume wakawa moto, nikawashiwa moto, na hapo ndipo moto uliponiwakia.
Maana palikuwa hapatoshi, wenye maneno ya kifedhuli haya, wenye vijineno vya kufedhehesha haya, wenye madongo haya, wenye marungu twende kazi. Ilikuwa kama kumfukuza Kibaka aliyekwapua simu ya mama muuza samaki pale Ferry jijini Dar. Wakuda wakalianzisha, huyoooooo, huyooooo, mulika mwizi huyooooo huyooooo~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~

Najuuuuta kulifahamu Jukwaa la Wakubwa
 
Zinduna mimi naona bado unanitafuta!!!!!!!
 
sasa ya wakubwa nenda nayo kwa wakubwa
huku nako watakutoa balu hao wahusika.
 
Afu, mbona mie hilo jukwaa hulisikia tu? Nikifungua sioni sredi yeyote.
 
Changamoto za ukameroon au? lakini jaribu kucheck special dedicated for u ile thread ya Kamati teule naona inafaa kukuliwaza.
 
Mie sikujua kuwa hayo mambo ni kharamu, niaamua kuweka karamu kumbe nitakuja pata gharika
 
Wenyewe wanazijua hizo post we subiri watakuja hapa na utawajua tu

Kumbe ulienda meremeta kunakochimbwa dhahabu kule ukienda vibaya wanakunyang'anya dhahabu yako kule lazima uwe na ulinzi wa kutosha kwa nini hukuniita nikusindikize na wewe?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom