Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,226
Likes
72,706
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,226 72,706 280
Tangu nchi hii ipate uhuru,hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi;ni katika awamu hii kashifa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa;pia,ni katika awamu hii,operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka;ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi;ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia,ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu.Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia,ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!

Kwasababu hizo,bila kujali nani amtamrithi JK,nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja,kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
34,507
Likes
22,329
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
34,507 22,329 280
.. Salary Slip itabidi tufanye shereehee kubwa ya kusherekea kutoka kwa jk maana tangu aingie ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,226
Likes
72,706
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,226 72,706 280
Kunawatu sijui wanawaza ugali mda wote ukiangalia mtu alichoandika moja kwa moja unajua kabisa kuwa huyu anawaza ugali tu.
Jibu hoja acha vioja!
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,226
Likes
72,706
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,226 72,706 280
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake
Achana nae huyo anakurupuka tu!
 
T

Tezidume

Member
Joined
Jan 22, 2015
Messages
68
Likes
2
Points
15
T

Tezidume

Member
Joined Jan 22, 2015
68 2 15
Tangu nchi hii ipate uhuru,hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi;ni katika awamu hii kashifa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa;pia,ni katika awamu hii,operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka;ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi;ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia,ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu.Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia,ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!

Kwasababu hizo,bila kujali nani amtamrithi JK,nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja,kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
Mimi nitaridhika tu pale yeye na familia yake watakapofilisiwa mali zao zote walizojipatia kwa kutumia madaraka ya uraisi.
 
S

Sukula

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Messages
1,202
Likes
93
Points
145
S

Sukula

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2012
1,202 93 145
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake
Unajua mkuu hz siasaza bongo zimewapumbaza sn watu kiasi kwamba ht vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.
 
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
33,822
Likes
13,895
Points
280
Age
35
Lizaboni

Lizaboni

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
33,822 13,895 280
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake
Dah! Kwenye mfumo wa soko huria sidhani kama jukumu la kujenga viwanda ni la Serikali
 
N

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
911
Likes
207
Points
60
N

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
911 207 60
Acha hizo wala huna hata point!
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,393
Likes
251
Points
160
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,393 251 160
.. Salary Slip itabidi tufanye shereehee kubwa ya kusherekea kutoka kwa jk maana tangu aingie ni shidaaa
Huwezi kuwa na amani wakati wewe siyo msafi kila siku mtu wa majanga kukiwa na kiongozi makini kama jk huwezi kuwa na amani.
 
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,393
Likes
251
Points
160
mwa 4

mwa 4

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,393 251 160
Unajua mkuu hz siasaza bongo zimewapumbaza sn watu kiasi kwamba ht vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.
Mkuu unataka kuletewa kiroba cha unga nyumbani kwako?
 
KILAKA

KILAKA

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Messages
374
Likes
6
Points
0
KILAKA

KILAKA

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2014
374 6 0
Vijana wanaoiunga mkono serikali ya jk na CCM wamegawanyika makundi mawili.
1) hawa ni wale ambao wana wazazi,ndugu,jamaa,marafiki au wao wenyewe wameweza kunufaika na wizi unaofanywa na CCM au kupewa "privelege" na serikali.
2) hawa ni wale wenye mategemeo kwamba kwenye siku za mbeleni wanaweza na wao wakaja kunufaika endapo CCM itaendelea kuwa madarakani.
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,408
Likes
5,585
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,408 5,585 280
.. Salary Slip itabidi tufanye shereehee kubwa ya kusherekea kutoka kwa jk maana tangu aingie ni shidaaa
!
!
itangazwe na iwe sikukuu kubwa sana ya kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
68,242
Likes
30,858
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
68,242 30,858 280
Unajua mkuu hz siasaza bongo zimewapumbaza sn watu kiasi kwamba ht vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.
No ushabiki wa kiitikadi ndio unawakumba wengi wao Vila kujitambua
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
68,242
Likes
30,858
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
68,242 30,858 280
Huwezi kuwa na amani wakati wewe siyo msafi kila siku mtu wa majanga kukiwa na kiongozi makini kama jk huwezi kuwa na amani.
Jamani mwacheni MZEE wa watu amalizie ngwe yake vizuri ili akale bata wake pale msoga.
 
Forum statistics

Threads 1,262,469
Members 485,588
Posts 30,123,156