Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,981
144,283
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi; ni katika awamu hii kashfa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa; pia ni katika awamu hii, operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka; ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi; ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia, ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu. Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia, ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!

Kwasababu hizo, bila kujali nani atamrithi JK, nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja, kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
 
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake

Achana nae huyo anakurupuka tu!
 
Tangu nchi hii ipate uhuru,hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi;ni katika awamu hii kashifa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa;pia,ni katika awamu hii,operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka;ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi;ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia,ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu.Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia,ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!

Kwasababu hizo,bila kujali nani amtamrithi JK,nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja,kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.

Mimi nitaridhika tu pale yeye na familia yake watakapofilisiwa mali zao zote walizojipatia kwa kutumia madaraka ya urais.
 
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake

Unajua mkuu hizi siasa za bongo zimewapumbaza sana watu kiasi kwamba hata vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.
 
Boss kuna vitu ambavyo huwa huvijuwi,
Serikali kujenga viwanda, vyuo na barabara ni vitu ambavyo haviepukiki kulingana na msukumo wa technologia, mwamko wa wananchi na wawekezaji kutaka kuwekeza nchini kwetu.
Hata kama mtu yoyote angekuwa raisi angeweza kufanya.
Vile vile katika ujenzi wa miradi hiyo ndiko waliko pigia deal zao za pesa kubwa kubwa, mfano ujenzi wa bomba la gas kuna bilion nyingi zimetumia ndivyo sivyo.
Kwa ufupi huwezi kumsifia baba ako kujenga nyumba ya kuishi na kukupeleka shule kuwa ndo maendeleo wakati ndo wajibu na majukum yake
Dah! Kwenye mfumo wa soko huria sidhani kama jukumu la kujenga viwanda ni la Serikali.
 
Unajua mkuu hz siasaza bongo zimewapumbaza sn watu kiasi kwamba ht vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.
Mkuu unataka kuletewa kiroba cha unga nyumbani kwako?
 
Vijana wanaoiunga mkono serikali ya JK na CCM wamegawanyika makundi mawili.

1) Hawa ni wale ambao wana wazazi, ndugu, jamaa, marafiki au wao wenyewe wameweza kunufaika na wizi unaofanywa na CCM au kupewa "privelege" na serikali.

2) Hawa ni wale wenye mategemeo kwamba kwenye siku za mbeleni wanaweza na wao wakaja kunufaika endapo CCM itaendelea kuwa madarakani.
 
Unajua mkuu hz siasaza bongo zimewapumbaza sn watu kiasi kwamba ht vile vitu ambavyo ni haki yao ya msingi wao wanaona favour na wkt kumbe ni jukumu la serikali kuhakikisha wananchi wanavipata maana wanalipa kodi.

Ni ushabiki wa kiitikadi ndio unawakumba wengi wao Vila kujitambua.
 
Huwezi kuwa na amani wakati wewe siyo msafi kila siku mtu wa majanga kukiwa na kiongozi makini kama jk huwezi kuwa na amani.

Jamani mwacheni MZEE wa watu amalizie ngwe yake vizuri ili akale bata wake pale Msoga.
 
Japo siasa siiwezi ila kwa maamuzi ya hivi hata mie naweza kuwa Rais wa Afrika.
 
Tangu nchi hii ipate uhuru,hakuna awamu ambayo taifa limepata hasara kubwa na ya kutisha kutokana na wizi na ufisadi wa kiwango cha juu kama awamu hii ya Kikwete.

Ni katika awamu hii wanyama wamepandishwa ndege na kuuzwa nje ya nchi;ni katika awamu hii kashifa za wizi wa mabilioni ya fedha za umma zimetokea na wezi kulindwa;pia,ni katika awamu hii,operation za kinyama kama "tokomeza" zimetendeka;ni katika utawala huu watu wameng'olewa kucha na meno bila ganzi na kisha kutupwa wakiwa mahututi;ni katika awamu hii ambapo wezi wa mabilioni ya umma wamesamehewa na ni katika awamu hii pia,ndugu zetu albino wameuwawa kinyama huku serikali ikishindwa kuwalinda.

Jambo lingine baya kabisa ni unyama wa Jeshi la polisi katika kudhibiti wapinzani na hata kutuhumiwa kuua raia kwa risasi na mabomu.Tuhuma za mabomu ya Arusha na kwingineko kila mtu amezisika.

Mfano mbaya kuliko wote ni mauaji ya Daudi Mwangosi ambayo polisi wanatuhumiwa kuyatekeleza na kwa mshangao wa wengi, RPC mtuhumiwa akapandishwa cheo.

Vile vile bila kusahau mgomo wa madaktari na jinsi serikali hii ilivyoumaliza bila kusahau madhara ya mgomo huo kwa wagonjwa wasio na hatia.

Pia,ni katika awamu hii maoni ya wananchi katika kupata katiba mpya yametupwa bila huruma.

Haya yote yametokea katika awamu hii ya JK ambapo watuhumiwa wengi bado wanapeta uraiani!!

Kwasababu hizo,bila kujali nani amtamrithi JK,nina kila sababu ya kusheherekea kuondoka madarakani kwa Kikwete na ni imani yangu nchi itaapumua.

Hiyo siku kila mwaka kama ni kuchinja mbuzi nitachinja,kama ni vinywaji, basi idadi na variety kwa siku hiyo itaongezeka na pia nitawaombea dua wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na utawala huu.
1. Siku hiyo itaitwa kumbukumbu ya dikteta muuaji na mcheshi kuliko wote.
2. AU siku serikali ya majambazi ilipoondoka!
3. AU maadhimisho ya miaka kumi ya mateso chini ya Serikali ya wezi
4. AU siku mtandao wa wezi ulipoachia madaraka!!
 
Back
Top Bottom