Siku akijibu mapigo msilie

Status
Not open for further replies.
yaajn nacheka had tesrs jaman dah bora aisee tupunguze machungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbiti weeee duh...
 
Na kama amehusika kwa njia moja ama nyingine,ni bora akae kimya maana akilizungumzia tu atajikuta ametoboa ukweli juu ya uhusika wake bila yeye kujua anatoboa siri
 
Na kama amehusika kwa njia moja ama nyingine,ni bora akae kimya maana akilizungumzia tu atajikuta ametoboa ukweli juu ya uhusika wake bila yeye kujua anatoboa siri

Mbona tayari watu washajua kwamba ni yeye.

At this point hata ningekuwa mimi wala nisingejali kabisa.

Ningeropoka tu.
 
Nyani Ngabu,

..siku "akijibu" au akijibu?

..kuna kupotea kwa Ben Saanane.

..je, "amejibu" tayari, au..

..Je kuna kulia zaidi ya hivi tunavyomlilia TL?

..kuna kuumia zaidi ya alivyoumizwa TL?

..EEH MUNGU TUSAIDIE.
 
Nyani Ngabu,

..siku "akijibu" au akijibu?

..kuna kupotea kwa Ben Saanane.

..je, "amejibu" tayari, au..

..Je kuna kulia zaidi ya hivi tunavyomlilia TL?

..kuna kuumia zaidi ya alivyoumizwa TL?

..EEH MUNGU TUSAIDIE.

Ipo siku nahisi ataliongelea hili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…