Povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kama unaona sijui lolote basi we endelea kumsifia mumeo mtarajiwa,tusije vuana Nguo ukakosa hadi chupi ya kujisitiri.Hakuna nilipojihami maana huna ujualo.
Nijihami dhidi ya juhaa kama wewe?
Hahahahaaaa bado sana.
Shoga angu tusije kulambwa ban. Achana nae huyo twende hukuhahaa hakuna ya maana mie mwenyewe nimevurugwa hapa kwajili yake ! fyu
Shoga angu tusije kulambwa ban. Achana nae huyo twende huku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kama unaona sijui lolote basi we endelea kumsifia mumeo mtarajiwa,tusije buana Nguo ukakosa hadi chupi ya kujisitiri.
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Shoga angu tusije kulambwa ban. Achana nae huyo twende huku
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Kwa IQ gani za kujisifu wewe hapo jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haihitaji akili nyingi kung'amua hili ambalo wewe bado hulijui yet unajifanya akili mingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaaPovu unatoa wewe.
Siwezi tolea povu juhaa mwenye single digit IQ.
Povu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi kama unaona sijui lolote basi we endelea kumsifia mumeo mtarajiwa,tusije vuana Nguo ukakosa hadi chupi ya kujisitiri.
ngumu kidg kulambwa ban [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wenyewe wnaa nmachungu na TL
Sijui.
Anajibaraguza kumsifia Fulani ili ampiku bashitehahahahahahaha mbona mume jaman
Hili la omo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Endeleeni kunisoma nami ntaendelea kuwatoa povu.
Juhaa kama jiwe.
Eti kumbe eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuendelee naona hata shoga etu nae anapendangumu kidg kulambwa ban [HASHTAG]#mods[/HASHTAG] wenyewe wnaa nmachungu na TL
Kwa IQ gani za kujisifu wewe hapo jomoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haihitaji akili nyingi kung'amua hili ambalo wewe bado hulijui yet unajifanya akili mingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaa
Hili la omo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TIA MAJI TIA MAJI WEWE
Harafu akishasema hayo mweno mfo inakuwaje je yatatoa moto?Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.