Siku akijibu mapigo msilie

Status
Not open for further replies.
Nimfatilize wapi mi nafatiliaga wasio na akili nzuri??? Nilipataga ubuyu wake tu basi ndio nikajua,mi nafatiliaga tia maji tia maji!!!mbiti niombe msamaha

Eti ulipataga ubuyu...ubuyu gani?

Hakuna anijuaye humu mimi.

Ulivyo juhaa si ajabu ulipewa ushuzi ukaambiwa ni ubuyu nawe ukakubali.

Hakuna anayenizidi ujanja humu. Hakuna anijuaye. Na hilo nina uhakika nalo.
 
utakuwa mtu wa ajabu kujibizana na chizi
 
Eti ulipataga ubuyu...ubuyu gani?

Hakuna anijuaye humu mimi.

Ulivyo juhaa si ajabu ulipewa ushuzi ukaambiwa ni ubuyu nawe ukakubali.

Hakuna anayenizidi ujanja humu. Hakuna anijuaye. Na hilo nina uhakika nalo.
Sasa mbona unajihami???
MBITIYAZA shoga ako kaona sina muda nae kaamue aingilie maongezi yetu.eti ndio ujanja anao jisifia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujanja my ass. Hebu nipite mie...mbiti kama kuna Uzi wa kunirekebishia mood huko nitag buana.
Halafu umeona akili Mingi Lissu anapelekwa marekani kutibiwa???
 


hhe anajifanyaga kichwa kwamba ni genius !yaan huyu level yake sijui ni nan !labda LUSINDE
 

Hakuna nilipojihami maana huna ujualo.

Nijihami dhidi ya juhaa kama wewe?

Hahahahaaaa bado sana.
 



hahaa hakuna ya maana mie mwenyewe nimevurugwa hapa kwajili yake ! fyu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…