Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
You seemed to scare of him so much.
nimekuelewaKama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
seems wewe ni msukuma, unamtetea mwenzako.Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
sijaona utetezi hapa, naona gentleman alertseems wewe ni msukuma, unamtetea mwenzako.
Do something about it then...seems wewe ni msukuma, unamtetea mwenzako.
Good for you [emoji122]nimekuelewa
He can't comprehend shit.sijaona utetezi hapa, naona gentleman alert
heheheheeee naunganisha kicheko mkuuuHahaaa nimecheeka....
Alert ya kinafiki/senge haikubaliki na si rafiki kwa haya yaliyotokea.sijaona utetezi hapa, naona gentleman alert
Wanaume huwajui? Subiri wanaume wakupe Noah!***** mchokoe pweza..siku akijibu mwanaume watatafutana
Kwa mtu yoyote anayedhania Magufuli atashindwa 2020 atakuwa hajui siasa za Tanzania na historia haijamfunza!2020 mnadhani atashindwa?
Ukweli wa mambo ni kwamba Magu ana grassroots support kubwa sana kuliko ambavyo inavyodaiwa humu JF.
Mtashangaa 2020 anashinda kwa asilimia 80 na hapo ndo mtapolia na kusaga meno.
Upinzani bado sana kuweza kuchukua dola kupitia sanduku la kura.
Wewe una ushahidi kuwa hausiki?Una ushahidi kuwa Magufuli anahusika?
Sijasema hahusiki.Wewe una ushahidi kuwa hausiki?
mwaka huu mpaka tuumalize kila rangi tutaiona, ila watu wanahasira mpaka wanatamani kutoboa keypads za devices zao. Anyway, Mungu wa kweli atatuongozaAlert ya kinafiki/senge haikubaliki na si rafiki kwa haya yaliyotokea.
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Waleteni...kwani mmekatazwa?Kikubwa tunahitaji investigators huru waruthibitishie Serikali yake haihusiki hakuna lingine.
Tatizo lake ni kuongea maneno ambayo ukiyafikiria hayafai kutoka kwake.
Pili aache ubaguzi Chuki na visasi havijengi Bali vinabomoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]