Davie S.M
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 748
- 228
Hawa wanasiasa siyo wa kuwaamini sana. Huyo Mnyika na Nape kuna siku niliwakuta kwenye mgahawa mmoja hivi katikati ya jiji wakipiga kitu cha juisi ya matikiti huku wakicheeeeeka unaweza kusema ni mtu na shemeji yake. Narudia wanasiasa siyo watu wa kuwasikiliza hata kidogo. Watu wengine bwana.
Hahaha siasa sio kama unavofikiria...urafiki upo tena sanaaa ni tofauti za kihitikadi tuu