Nadhani ya leo ni ya tisa kama sikosei.Kwani leo yangapi mkuu?
Hata Jesus alipofufuka siku ya tatu aliwakuta wanafunzi wake wamejikunyata kwa majonzi hawajui wafanye nini - akawaambia sasa ni muda sasa wao kuanza kazi ya kuhubiri injili duniani kote!! Mbona hakuwaambia waendelee kuomboleza hadi 21 days!!Siku tatu sio mbaya
Siku 21 ni nyingi sana sana anatakiwa baada ya kuzikwa tu kusiwe na ratiba nyingine zibaki za familia tu!Hata Jesus alipofufuka siku ya tatu aliwakuta wanafunzi wake wamejikunyata kwa majonzi hawajui wafanye nini - akawaambia sasa ni muda sasa wao kuanza kazi ya kuhubiri injili duniani kote!! Mbona hakuwaambia waendelee kuomboleza hadi 21 days!!
Kama ni la kisheria si angezikwa Dodoma? Sheria ilibadilishwa lini? Leta rejea hapaHilo ni swala la kisheria.....
sheria ya mazishi ya viongozi....
Mvunjaji mkuu wa katiba tukivunja katiba kwa ajili yake sindo itakuwa tumemuenzi vzr!?Kwa hiyo una shauri tuvunje katiba?
Hatupigi miziki kwa sauti kubwa majumbani haswa huku uswazi kwangu, lakini pia ukichinja kuku wako ukamkaanga ukala unakula barazani kwako huku unashushia na mbege unakamatwa eti unafanya hivyo kwa furaha gani!?wtfTukiomboleza sisi tunaoomboleza kuna kitu unapoteza???
Na je, kuna huduma yoyote umekosa sababu tunaomboleza???
Au ni wivu tuu[emoji849][emoji849]
Kama ni wivu basi na wewe kufa tukuombolezee
Moyo wa mwanadamu aujuae ni Mungu tuu sio wewe na kuomboleza hakuna hukumuKama kweli mnaomboleza kutoka moyoni, Mungu ndio anajua na ndio atawahukumu.
Mkuu hapa kwenye huduma ulifikiri vizuri! Sisi watu wa burudani tumeambiwa marufuku club mpaka siku hizo, sijui hata lama league yetu pendwa Bongo kama inaendelea. Haya ni madhara ya wazi ya siku 21.Tukiomboleza sisi tunaoomboleza kuna kitu unapoteza???
Na je, kuna huduma yoyote umekosa sababu tunaomboleza???
Au ni wivu tuu[emoji849][emoji849]
Kama ni wivu basi na wewe kufa tukuombolezee
Uongo nao ni dhambiHatupigi miziki kwa sauti kubwa majumbani haswa huku uswazi kwangu, lakini pia ukichinja kuku wako ukamkaanga ukala unakula barazani kwako huku unashushia na mbege unakamatwa eti unafanya hivyo kwa furaha gani!?wtf
Mkuu hapa kwenye huduma ulifikiri vizuri! Sisi watu wa burudani tumeambiwa marufuku club mpaka siku hizo, sijui hata lama league yetu pendwa Bongo kama inaendelea. Haya ni madhara ya wazi ya siku 21.
Kwani siku 21 aliasisi Nani? Nadhani haihusiani na mfano wa Yesu maana yeye iliandikwa atafufuka ila wanafunzi hawakusadiki ndo maana walijikunyata.Hata Jesus alipofufuka siku ya tatu aliwakuta wanafunzi wake wamejikunyata kwa majonzi hawajui wafanye nini - akawaambia sasa ni muda sasa wao kuanza kazi ya kuhubiri injili duniani kote!! Mbona hakuwaambia waendelee kuomboleza hadi 21 days!!
Labda alikuwa mtoto mchanga haelewi lolote.Nakumbuka baba wa wa taifa mwalimu Nyerere
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere,tukiomboleza kwa siku 30 yaani mwezi mmoja kamili,wewe hukuona kuwa mwezi ni mkubwa mno,Leo hii kwa sababu anayeombolezewa sio wako unaona siku 21 zinakuwa nyingi kuliko mwezi?Kweli?
Tukichinja mbuzi na kula supu tunakamatwaKwani hayo maombolezo yanaathiri nini?
Wamekusikia wataziongezaKwani Kuna Jambo kimelala mkuu, napendekeza ziongezwe, badala ya siku 21 ziwe 99 mkuu