Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 168
- 172
Kwa nini alishindwa kufanya mabadiliko ya katiba miaka minne kabla ya uchaguzi??Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
#D09Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Wakati wa mungu ndo wakati sahihiKwa nini alishindwa kufanya mabadiliko ya katiba miaka minne kabla ya uchaguzi??
Time Will tell Familia 💪 tuwe na subiraTunarudi kulekule, kama ni suala la KATIBA basi atupe ile KATIBA ILIYOPENDEKEZWA NA WANANCHI chini ya Jaji Warioba
Maridhiano sidhani kama Wapinzani wapo tayari.
....Aya Makuuuma sikuzote Yanaleta matatizo afu yanajifanya kama yanatatua
Matatizo kaleta Nan? Kaka nijibu bila matusi....
Huyu mungu ambaye anaona huu ndio wakati sahihi wa kuleta katiba baada ya maelfu ya watu kupigwa risasi kiholela naye atakuwa sadist katili mwenye matitizo asiye na akili.Wakati wa mungu ndo wakati sahihi
Alichosema ni kwamba, waliahidi jambo hilo wakati wa kampeni. Hata h8vyo, kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi, ameunda tume ya kutambua kiini cha vurugu.Mama amesema ndani ya siku 100 atakuwa amefanya mnabadiliko ya katiba pia ameamuru tume ya uchunguzi kufatilia kilichotokea Tanzania Oktober 29 na kuandaa utaratibu wa maridhiano ila yote haya ni kutafuta Amani tulioilinda Zaid ya miaka 60
Yeye mwenyewe ndio kaleta matatizoMatatizo kaleta Nan? Kaka nijibu bila matusi