SIKITIKO: Michael Baruti kafiwa na mama yake.

RIP mama mpendwa. Bali mtoa mada fafanua vizuri sasa.
 
Cheki vizuri source ya information yako..Amefiwa na baba yake tafadhali badilisha..
 
Bwana ametoa bwana ametwaa poleni wafiwa.
 
Watu wengine hovyo kabisa, Michael Baruti ndio nani? usidhani kila mtu unaekunywa nae pombe uko vichochoroni kwenu basi kila mtu anamjuwa, wapo hata mawaziri sio maarufu na majina yao hayajulikani, so who is this BARUTI?
 
Mtangazaji east africa redio kipindi cha saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana ni kipindi kizuri ukipata muda kisikilize.
 
Muda huo hata kama sina kazi ni bora niangalie bunge au BBC extra.
 
he, huyu kafiwa na baba yake wala si mama yake. Mzee baruti alishawahi kuwa mkurugenzi wa manispaa kadhaa, including morogoro na mwanza.
 
Mtangazaji east africa redio kipindi cha saa tatu asubuhi mpaka saa saba mchana ni kipindi kizuri ukipata muda kisikilize.
Unaona sasa, wengine wanaishi njomlole,njalamatata, ligela. Na wengine wako izazi,nyang'oro, nyamahana, idodi na tungamalenga. Wengine wako laela, mpui, lyazumbi na kibaoni, namanyere na kasanga. Huko east africa radio haipatikani bana! Poleni wafiwa.
 
Back
Top Bottom