Sikinde na msondo, 19/03/2011 diamond jubilee

zaratustra

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
848
223
Wakuu, mimi ni mpenzi sana wa bendi zetu hizi kongwe hapa Bongo, kwa bahati mbaya sana jana nilishindwa kwenda kuushuhudia mtanange wao pale Diamond Jubilee. Kama kuna waliopata kuhudhuria mtanange wa jana, basi watujuze, mambo yalikuwaje pale? Natanguliza shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom