Ukitaka mwanamke asikuendeshe simamia majukumu yako yote kama mwanaume. Ukiona unaambiwa pika sijui OSHA vyombo, jua kuna sehemu umefail kwenye responsibilities. Wanawake huwa wanaheshimu sana wanaume wanaojua majukumu na haijalishi amesoma au LA.
Kumbe ziliwe na nani sasa?..... mwanamke mwenzio kwa utamu gani anaokupa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] uuuu usiniletee laana.. Pesa Yangu ule mwanaume.. Otee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakula mwenyeweKumbe ziliwe na nani sasa?..... mwanamke mwenzio kwa utamu gani anaokupa.
Kwa utamu gani unaojipa we mwenyewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa utamu gani unaojipa we mwenyewe
Jibu acha kucheka. Sie utamu tukupe na hela tukupe hafu! vyuuuuu!
MfyuuuuuJibu acha kucheka. Sie utamu tukupe na hela tukupe hafu! vyuuuuu!
Simbilisi wale wanaokula majani ya mianzi eeeh, we lazima utakua wa iringa au njombeNa kama kuna mwanaume bado unaishi maisha ya kitumwa kwa mwanamke wako wewe ni simbilisi tu
Heshima kwako mkuuSiku hizi wanawake wanajifanya wana sauti sana kwa wanaume wao, wana midomo hao!! lakini ni kosa la baadhi ya wanaume kuishi na mwanamke kidhaifu na kizembe zembe.
Ni hivi tunawaoa kwa kuwalipia mahari tena siku hizi mamilioni ya pesa, mmewahi kujiuliza kwanini? Sasa mnapotaka kushindana na kuleta usawa wakati mi nimekuoa kwa pesa nawe umeolewa tu bure hiyo haiwezekani, kabla ya kuandamana na kudai haki ya kuwepo na zamu za kupika, kudeki, kufua na zingine hebu andamaneni kwanza kufuta mahari tunayowalipia.
Mwanamke bora ni yule anayesimama kwenye nafasi yake, hata miguu ni muhimu sana kwa binadamu lakini ikikaa shingoni inapoteza maana na jina linabadilika unaitwa mlemavu, the same kwa mwanamke, akikaa kwenye nafasi yake ni kiumbe mtamu sana, but akijifanya mjuaji sana ni ulemavu aseee... ruksa kufanya unavyoweza kuunyoosha, ikishindikana piga chini.
Na kama kuna mwanaume bado unaishi maisha ya kitumwa kwa mwanamke wako wewe ni simbilisi tu, kabisa yaani... how possible yaani mwanamke anakuendesha, inawezekanaje yaani, daah yaani kabisa mwanamke anakujibu anavyojisikia, kweli?? sijui nisemeje yaani..
Siku mwanamke wangu akianza hizo dharau sijui kuniambia masuala ya zamu ya kupika sijui kufua ndo siku rasmi nitakayokua mfungwa kwa kosa la kuua.
Nampenda mwanamke wangu lakini kunipanda kichwani ndo haipo hiyo,mimi ni MWANAUME nimeumbwa kuongoza, nipe nafasi nikuongeze kama unaona sikufai basi kiroho safi tu unajiondoa ila dharau no
Mimi ni mwanaume wa karne ya 17. wanaume wa karne hii naona wengi kama wanawake tu, tofauti yao kubwa ni kukojoa huku wamesimama, ila kwenye maamuzi na uthubutu ni kama wote ni sawa tu.